Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

HIMARS inawasalimu.
IMG_20220712_090736.jpg
 
Unapo-posti picha za maiti zilizoharibika vibaya unafaidika na nini?
Yeye kama yeye hafaidiki ila sisi wasomaji na watazamaji wa uzi huu tunapata habari za kuaminika za kile kinachoendelea.
Je, huoni hata wewe umejua sasa kwamba Warusi nao wanakufa? Asingepost si ungeliendelea na imani potofu kwamba Mbabe (Mrusi) hafi ila ni Waukraine tu? By the way, hujaalikwa kuusoma uzi huu ila umeamua kuusoma kwa ridhaa yako. Vumilia.🙁 kuyaona hayo kwani ndo matokeo ya vita.
 
Majamaa yanakufa vibaya kisa tu yanatumikia jeshi[emoji28]
... sijawahi ku-comment huu uzi. Kufa, iwe vibaya au vizuri, kwa ajili ya kulitumikia jeshi la nchi yako sio tatizo. Tatizo ni kufa kwa ajili ya kumtumikia dikteta mmoja mvamizi anayetamani kumwaga damu za wasio na hatia - hapo ndipo tatizo lilipo.
 
Wanajeshi wa Ukraine full furaha.wanajua Mrusi atapigwa
 
Back
Top Bottom