Nasikia Hawa Mabwana Wameletwa Uwanja wa Vita huko Kherson na Donbas. Tusubiri kuona nini kitawakuta. Wameshaanza kuwindwa. Wanaenda kumuacha Putin yatima.
Habari ambazo sijadhibitisha, inadaiwa Alexander Lapin amesha kwenda na Maji huko Donbas. Kama kweli tutajua kwani bado inafuatiliwa.
Swali watu wanauliza, Wetu wenye vyeo Vikubwa wanapelekwaje Frontline au Wao ndo wamejipendekeza kuonesha Ushujaa?
Tusubiri. Muda utaongea.
Sergey Istrakov - ColGen, Deputy Chief of the General Staff.
Alexander Lapin - ColGen, Chief of Central Military District.
Gennadiy Zhidko - ColGen, Chief of the Military-Political Directorate.