Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

IZyum: Wavamizi tumefanikiwa kuwafukuza na wakakimbia speed katika miji ya Dovhen'ke na Dolyna. Ukiona hivi ujue Urusi wameanza kuzidiwa.. Halafu jana Warusi wamekufa wengi. Natamani Ukraine ingeteka Izyum kwanza, kazi ingekuwa rais. Izyum Urusi wanaithamini kama kisiwa cha Snake. Ukraine wafanye jambo hapa
FXhQ-GXWAAEUHIh.jpg
 
Ukraine hawaendi Speed sana sababu wanahofia kuua raia wake. Vingninevyo HIMARS ingekuwa ishalipua maeneo yote haya
FXfKpnQWQAMXuMQ.jpg
 
Nasikia Hawa Mabwana Wameletwa Uwanja wa Vita huko Kherson na Donbas. Tusubiri kuona nini kitawakuta. Wameshaanza kuwindwa. Wanaenda kumuacha Putin yatima.

Habari ambazo sijadhibitisha, inadaiwa Alexander Lapin amesha kwenda na Maji huko Donbas. Kama kweli tutajua kwani bado inafuatiliwa.

Swali watu wanauliza, Wetu wenye vyeo Vikubwa wanapelekwaje Frontline au Wao ndo wamejipendekeza kuonesha Ushujaa?

Tusubiri. Muda utaongea.

Sergey Istrakov - ColGen, Deputy Chief of the General Staff.
Alexander Lapin - ColGen, Chief of Central Military District.
Gennadiy Zhidko - ColGen, Chief of the Military-Political Directorate.
FXfj_HOXwAQB-is.jpg
FXejeohX0AA6lTB.jpg
FXejcGKWYAA4ChM.jpg
FXeisWsWIAEtY6i.jpg
 
Samahani Wakuu, Naomba Mnisaidie kufuatilia hii, Jem ni kweli kwamba Sergey Istrakov - ColGen, Alexander Lapin na Gennadiy Zhidko wote wameshakufa?. Naambiwa eti Wameuliwa huko Kherson kwenye Shambulio la HIMARS. Naogopa kushangilia kabla ya Uhakika. Pro Urusi tusaidie kuweka kumbukumbu sawa, Je ni kweli wamekufa?
292542827_1004156606941554_8079217276858170534_n.jpg
 
Eti Warusi hawafi. Si hawa hapa wamekifa. Yaani sijui Pro Urusi wanaona wanajeshi wao ni Mawe
 
Back
Top Bottom