Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hoja yako hasa ni nini?
1. Unataka Ukraine asijitetee dhidi ya mvamizi?
2. Unataka Ukraine aipigie magoti Russia.

3. Hutaki Ukraine awe na marafiki wa kumsaidia anapopatwa na janga kama hili?

4. Unataka Ukraine iwe sehemu ya Russia ?
5. Unataka kutuambia Ukraine siyo taifa huru?
 
Unataka ujue hoja yangu? Then answer my questions, Fanfa
 
Hawa warusi wamekufa sababu ya Ubabe wao. Wameambiwa wajisalimishe, wakajiona wapo wengi bila kukua wamezungukwa wakaanza mshambulia Mwanajeshi wa Ukraine alokuwa anawaambia wajisalimishe. Matokeo yake wote wamekufa ni zaidi ya 19 waliokufa. Hawa ndo Wagner kutokea Urusi, wote wamekufa na vifaa vyao vimechukuliwa
Your browser is not able to display this video.
 
Hii inaitwa TACTICAL EXPERIMENT. Katika medani za vita, ni kawaida nchi moja isiyojitambua na isiyojali usalama na utu wa raia wake, kukubali ardhi yake iwe uwanja wa kujaribia silaha za kisasa.
Mkuu, hii thread inahusu frontline ya Ukraine. Kama huna habari za Ukraine kaa kimya.

Pili hatufanyi propaganda na kuleta habari ya Uongo na hii nakupa kama onyo sababu uzi ni wangu. Unakuja kudanganya watu eti hiyo ni TACTICAL EXPERIMENT? Silaha ya wapi inaitwa hivyo? Kama mtu akipost kitu cha uongo njoo na fact sio matusi eti nchi isiyojitambua? Huku watu wanakuchora tu ujinga wako.

Nini kinakuwasha chini ya mgongo wako mkuu? Uzi wenu unahusu mafanikio ya Urusi si upo? Kaandike huko upotoshaji wako na propaganda uone kama utasumbuliwa. Hapa ni jukwaa la picha na Mafanikio ya Ukraine tena frontline tu(Kikao cha familia yetu).

kikiboxer umeona huyu jamaa amekuja kuwalisha watu matango Pori?

kikiboxer yupo sahihi hicho kifaru ni aina ya Gepard 35mm self-propelled anti-aircraft gun system (Flugabwehrkanonenpanzer Gepard) Vimeletwa Vifaru 50 kutoka Ujerumani na vingnine vipo njiani.
 
Usihangaike na huyo jamaa. Post za clips zako ndo majibu sahihi. You always respond with facts. Mwache apige porojo zake lakini anajua ukweli. Ndo maana kila saa anachungulia umeweka nini kwenye uzi huu.
 
Huyu jamaa sidhani kama anajielewa. Nimeona pro russia wengi mchango ni kwamba Ukraine i comply na terms za Russia.
Nashindwa kuelewa mnakubaliana vipi na mtu anaetaka kukudhulum?

Russia aliamua kutumia njia ya ubabe kumvamia Ukraine sasa utaanzaje kukaa mezani na mtu anejiona ana upper hand kuliko wewe tena kwenye ardhi inayokuhusu wewe?

Kule kwenye uzi wao wamejaza propaganda jana nilimuomba picha za HIMARS zilizolipuliwa kama wanavodai sijapata hadi muda huu. Binafsi nilishaacha kupost kule kwenye uzi wao sababu wanamihemuko na matusi hakuna hoja figganigga
 
Baada ya Kherson, Mkoa mwingine unaokuja kukombolewa mikoni mwa Wakoloni Wavamizi Urusi ni Donetsk,
Jana Donetsk, Warusi wamekiziswa katika miji ya Spirne, Svyati Hory National Park, Berestove na Semyhir'ya. Wavamizi Urusi wameretreat.

Leo Wavamizi wamezamia tena Pokrovs'ke. Tusubiri hadi jioni tuone itakuaje. Mambo ya Ukoloni wa kutumia mabavu ushapitwa na wakati.

Hapo kwenye Mstari mwekundu ndipo Frontline ya Ukraine ilipo.
 
Hizi ni MSTA-B howitzer battery Urusi walizificha Msituni karibu na Izyum. HIMARS ikaziona na Zote zimelipuliwa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…