Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Si kweli. Nikibahatika kupata full ntaweka. Unaweza pigwa risasi ukatembea hata mita 200 ndo ukaishia nguvu. Camera ilichukua ukubwa mdogo.
Hebu itafute full maana ni clip tamu sana. 😂😂😂
 
Aisee, yule mrusi wa upande wa kulia ule ukimbiaji alivokimbia ilibidi nicheke sana kwani kama yeye anakiogopa kifo hivyo ni kwa nini anaenda kuua wenzake wasio na hatia?
 
... Seeing is believing. Tupia picha au clips tuone kichapo Mkuu.
Hana lolote achana naye.... .Eti waliposti clip kuonesha askari wa Ukraine waliji-camouflage kwa kuvaa nguo za kiraia. Hicho ndo anakiita kichapo.
 
Man, figganigga una roho mgumu balaa. Yaani kicjapo chote anachopokea ukraine bado tu hujakata tamaa. Una roho ngumu kama zele.
Unataka aposti porojo au uongo? Hizo picha na clips unadhani kazichora yeye? Hebu na wewe chora zako tuzione.
Zingatia kwamba ni kweli inahitajika Roho ngumu balaa ku-struggle na kufaulu kuzipata hizo picha na clips eneo la vita - Eneo hatarishi. Wapo watu ambao hata kuiangalia maiti tu ni shida. Ungelienda huko kwa Warusi na kutuletea clips na picha kichapo chote anachopokea Ukraine ili tulinganishe mkuu. Vinginevyo hayo uliyosema ni ubuyu mtupu.
 
Aisee, yule mrusi wa upande wa kulia ule ukimbiaji alivokimbia ilibidi nicheke sana kwani kama yeye anakiogopa kifo hivyo ni kwa nini anaenda kuua wenzake wasio na hatia?
Alivyo ruka kwa nguvu lazima atakuwa kajamba kabisa 😂😂😂
 
... Seeing is believing. Tupia picha au clips tuone kichapo Mkuu.
Hamna cha picha wala cideo. Ukraine wanapata kipigo na ardhi inachukuliwa. Hizo video na picha mnazoleta hapa kuonyesha waRussia wanauliwa na vifaa vyao kuharibiwa ni kweli na ni kawaida kwenye vita. Ila ukraine wana hali mbaya sana.
 
Uthibitisho
 
... wewe ni katika pro Russia waungwana sana; picha zinazoletwa kwenye huu uzi ni real! Ni kweli inawezekana Ukraine wanapigwa ila kulinganisha na the monster Russia kwa neema ya Mungu Ukraine wanajibu. Tushirikiane sote kuwaonbea Mungu awape ushindi dhidi ya wavamizi.
 
Back
Top Bottom