Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

IMG_20220725_164951_763.jpg
 
Wanapata taabu sana hawa ndugu. Kakoswa kitu kizito kwenye makalio😂😂😂
Wote wanakufa hata wangekuwa kumi. Hii sio hadi ikudondokee ndo uumie.. Hili ni pomu, likipasuka vile vipande vilivyopasuka ndo Vinaua. Hadi ukiwa mita 10 unakufa. Kukwepa ulale chini. Hivyo vioande vimechongoka, watu wanakatika miguu na Mikono
 
Niliona clip moja yupo jamaa hana kichwa.
 
Wote wanakufa hata wangekuwa kumi. Hii sio hadi ikudondokee ndo uumie.. Hili ni pomu, likipasuka vile vipande vilivyopasuka ndo Vinaua. Hadi ukiwa mita 10 unakufa. Kukwepa ulale chini. Hivyo vioande vimechongoka, watu wanakatika miguu na Mikono
Nimeona jamaa hajaanguka katimua mbio ina maana vipande havikumpata. Mwingine naye kajibanza kwenye gema
 
Mpaka iishe hii vita watarudi kwao wana kende moja moja.😂😂
Hahahahahaaaa. Kwa yule atakayebahatika kwani wengi wanarudi ni mizoga na baadhi ya maiti wanatelekezwa maporini wajiozee kwa wakati wao - inarudi hewa(Null corpses)
... pamoja Kiongozi. We are against a common enemy!
That's the main point.
 
Back
Top Bottom