Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Daaah America nikonyo zinalindwa kuliko rais w Africa.
 
Kamanda wa Urusi wa battalion ya 35th motorized infantry brigade katika mjini wa Oleysk(Olevs'k), Major Leonid Shchetkin, tumemdaka. Yupo Korokoroni, wangekuwa Azov washaua. Huyu ndo boss wa Vifaru vyote Mkoani Zhytomyr. Urusi watajua hawajui

Kabla ya kudakwa walokufa hawajesabiki.. Ilichukua masaa 4
 
EeeEE wae! Hakika hapo sasa Mrusi atakunywa maji kwa karai.
 
Urusi yatungua helicopter yake ya kivita, baada ya helicopter hiyo kushambulia kambi za Urusi kimakosa huko Kherson
Nadhani hajashambulia kimakosa. Ameona aendako (Ukraine) ngoma nzito, ni kheri atokako(Urusi) kwa hiyo akageuza kibao na ili asife peke yake akajitafutia wa kuondoka naye hususan awe ni Mrusi mwenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…