kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Shanting ya nini wanaplan hawa nyang'au?Kuna helicopter kibao zinafanya shanting kati ya Crimea na URUSI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shanting ya nini wanaplan hawa nyang'au?Kuna helicopter kibao zinafanya shanting kati ya Crimea na URUSI
Hali imekwa tete 😂😂😂Kuna helicopter kibao zinafanya shanting kati ya Crimea
Hii sio poa mjeruVile vifaru vilivyoletwa vya Ujerumani aina ya Gepard, vikiwa kazini hivi ndivyo vinatema risasi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndege haikatizi wala kitu chochote kinachoruka angani. Asanteni sana Ujerumani
View attachment 2305333
Daaah America nikonyo zinalindwa kuliko rais w Africa.HIMARS nyingine hizi hapa, zinakaribia kufika Ukraine. Zinakija zikiwa loaded. Zinakimbia kama vieite tu[emoji1787][emoji1787]
Kumbuka hayo magari madogo yana Wanajeshi wanaozilinda zisitekwe.. Battalion nzima ipo hapo. Waandishi, Madaktari, Manesi, nk.. Kwamba zilikuja na Ukinzi pia wa Snipers 12.
Hayo magari madogo yalowasha taa, yote yanalinda HIMARS zisiangukie mikononi mwa adui. Zoom kuona picha vizuri
View attachment 2305352
Iran, Uganda.....Urusi wamechoka🤣🤣Amelitafuta mwenyewe wacha limpate,
Mwenzake lavrov yupo Uganda anatafuta uungwaji mkono kweli wamechanganyikiwa
Wapelekewe Moto tu.
Na vitambulisho vyao vibaaya vya kizamani Kama vya wanafunzi wa Ikungulyambeshi secondary.Kamanda wa Urusi wa battalion ya 35th motorized infantry brigade katika mjini wa Oleysk(Olevs'k), Major Leonid Shchetkin, tumemdaka. Yupo Korokoroni, wangekuwa Azov washaua. Huyu ndo boss wa Vifaru vyote Mkoani Zhytomyr. Urusi watajua hawajui
View attachment 2306254View attachment 2306256View attachment 2306257
Kamanda wa Urusi wa battalion ya 35th motorized infantry brigade katika mjini wa Oleysk(Olevs'k), Major Leonid Shchetkin, tumemdaka. Yupo Korokoroni, wangekuwa Azov washaua. Huyu ndo boss wa Vifaru vyote Mkoani Zhytomyr. Urusi watajua hawajui
Kabla ya kudakwa walokufa hawajesabiki.. Ilichukua masaa 4
View attachment 2306254View attachment 2306256View attachment 2306257
Au Ikungulyabashashi 😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️Na vitambulisho vyao vibaaya vya kizamani Kama vya wanafunzi wa Ikungulyambeshi secondary.
😅😅😅 eti wamempigia mam ake aisee....atalia kama mtoto analilia titi (ziwa)Hapa kataja namba ya mama yake, wakamuambia aseme katekwa. Akasema nimetekwa wametutaka kuondoka Ukraine
View attachment 2306284
EeeEE wae! Hakika hapo sasa Mrusi atakunywa maji kwa karai.Daraja la Antonovskiy limeshambuliwa leo Usiku huko Kherson. Hili Daraja linaunganisha Kherson na Crimea ambayo ipo chini ya Urusi tangu 2014.
Inaonekana air defence systems zimeshindwa kudaka hata missile moja iliyokuwa inaelekea darajani. Ukriane wakifanikiwa kuliharibu hili daraja, inamaanisha Njia ya Kuretreat kwa Urusi itakuwa haipo, itabidi wajisalimishe. Pia hakutakuwa tena na Ugavi wa Silaha, chakula na risasi.
Wakijaribu kutengeneza daraja la makeshift, watapata maafa makubwa kwani Jeshi la Ukriane lishajua ndo kitu pekee chaweza fanyika
Wanajeshi wa Urusi waliopo Kherson wanauoga, hawajui waende wapi.
Maana yake hii ni sawa na kuzungukwa.. Mbele huendi, nyuma huendi. Kumbuka HIMARS imeshaharibu Maghala yote ya Sikaha za Urusi ya Kherson. Huu Mkoa kazi imeisha.. Twende zetu Donetsk kisha tumalize na Luhansk. Ukraine itakuwa imemaliza Vita.
View attachment 2305276View attachment 2305277View attachment 2305278View attachment 2305279View attachment 2305280View attachment 2305281View attachment 2305282View attachment 2305283
Yaani Ukraine inabidi tujitahidi tuikomboe Izyum. Hiki ndo kitovu cha Urusi kama iliyokuwa Kisiwa cha SnakeKherson ikirudi Donetsk watu watateleza tu. Big up Ukranian troops.
Nadhani hajashambulia kimakosa. Ameona aendako (Ukraine) ngoma nzito, ni kheri atokako(Urusi) kwa hiyo akageuza kibao na ili asife peke yake akajitafutia wa kuondoka naye hususan awe ni Mrusi mwenzake.Urusi yatungua helicopter yake ya kivita, baada ya helicopter hiyo kushambulia kambi za Urusi kimakosa huko Kherson
Hapo sasa Ole wao Askari Mrusi ajidai kupita kwa miguu.Hilo daraja labda pikipiki na watembea kwa miguu, hapo hakuna gari itayopita
Duh...wanazidi kupotea tu...Lt Gen Yakov Rezantsev tumewaambia Urusi kwamba tumemuua kule Kherson, wenyewe wanadai kapotea. Basi wasubiri watamuokota
View attachment 2306274