Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kima ww umekuja kuleta mapropaganda ya kijinga pumbav

View attachment 2170545
Cheki Warusi wenzio wanavyokimbia kama kuku alokatwa kichwa. Ngoja nikuache.. Wewe ni jinga unayejivua matusi ila huna ushahidi. Tangu mwanzo unanitukana nakuangalia tu. Ukiendelea nakupa picha za nduguzo tukiwagongelea misumari Kichwani. Unikome
Your browser is not able to display this video.
 
Jeshi la Ukraine wanatumia drone kuonesha Wavamizi Warusi walipojificha then tunawapa dawa
Your browser is not able to display this video.
 
Nitakuchapa na fact 1 tu hutokaa urudi kuposti utopolo wako
 
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi wanajifanya wababe ila wanapoteza sana. Kyiv mtaichungulia kwa tochi🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Tukimuona m"Russia huku...

Za kichwa tuuu;
 
Hapa ni Mkoani Kyiv, Vifaru vya Urusi aina ya T-72B3 na T-72B na BMP-2 vimeteketezwa
 
Hapa ni Mji wa Zaporizhzhia, Urusi wamepoteza Vifaru aina ya a 2S12 Sani 120mm mortar with truck, BTR-82A, gati tenki la Mafuta na MT-LBM 6MB hii ni MT-LB yenye MB2, ambayo huwa inawekwa kwenye BTR-82A.

IED ya Ukraine ilivyoharibu gari la mafuta la Urusi. IED ni military counter
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Mkoani Luhansk
Huyu aloandika kifaru cha Urusi aina ya T-72 kakosea hii T-64BV
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…