Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri Mana wewe ni mtalamu wa mambo ya kijeshi,Hivi hizi lebo wanazovaa wakiwa vitamin vipi haziwezi kutumiwa na adai kuhadaa wapinzani wao? Kwa mfano batolion yenye wanajeshi elfu 3 vipi kiongonzi ambae ni brigedia anawezaje kuhakikisha kwamba wapiganaji wake wanafahamika kwenye uwanja wa vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utauawa. Utaonekana muasi. Watu wanatoka Dar wanaenda Morogoro, nawe unatoka Morogoro unaenda Dar, kisha wewe wa Morogoro ugeuze gari uanze shambulia Morogoro? Inawezekanaje? Sababu kila jeshi linapofila linaweka bendera yake. Na kila hatua Mkuu wenu anajua. Sababu Wanajeshi wapo kwa hesabu na wanajua nani yupo wapi? Wewe utakayevaa rebo utajiita kikosi gani? Mfano hawa hawa wachechen wanaomsaidia Urusi wanajiita Tik tok wakiwa Vitani. Huko mbele uepelekwa na gari gani? Nani anakupa muongozo wa kulipua mzinga? Sikuelewi. Hadi Silaha zina alama. Utatoa wapi? Asubuhi mumepewa majukumu halafu mtu aingie msijue? Mapigo yenu kanuaje? Hadi kuwe na muasi.

Vita ya Libya kuna jamaa kiongozi wa juu wa Jeshi alijiunga kwa Waasi ila nia ilikuwa kumpa taarifa Gadafi. Wakashangaa Kikosi chake wakikipa majukumu watu wanakufa, kila mbinu gadafi anapata taarifa. Ikabidi kiongozi wamuue ndipo waasi wakaukamata Mji wa Sirte Gadafi anapozaliwa. So Uasi upo. Ila ukigundulika hakuna nisamie, unajinyonga kwa mikono yako hadi ufe

Hata sijui nikufanulieje. Wanajeshi wanaenda kwa pamoja. Ukiwaacha wenzio unapigwa tu.
Mfano
GettyImages-1366270531_x8hsm7.jpeg
 
Swali lingine Tena mkuu ni kwa nini Hawa Chechens wanapenda Sana vita Yani ni kama vita kwao ni jambo ambalo wanalifutahia Sana.Na ni kwa nini hawa jamaa ni waisalamu wakati najua hiyo nchi ilikuwaga kwenye shilikisho la kisovieti hivo basi nilitegemea wangekua waothodox kama walivo Warusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ya Kiislam imeenea sana. Hawa Chechnya ni Waislam jamii ya Suni. Tangu Karne ya 14. Wakati wa kuenea kqa dini, watu walifika Urusi. Ukizingatia Ukraine kulikuwa na Wayahudi. Watu wanadai huyu rais wa Ukraine ni Myahudi. Hii Vita Utafikiri Israel haimo, ila ndo nchi inapeleka misaada mingi kipindi hiki cha Vita. Hata Wataalam. Wamarekani na Waisrael wamejaa Ukraine tena Frontline. Wanajiita watu wa kujitolea. Urusi anapambana na Nchi nyingi. Sema hawajitangazi
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mzuri Mana wewe ni mtalamu wa mambo ya kijeshi,Hivi hizi lebo wanazovaa wakiwa vitamin vipi haziwezi kutumiwa na adai kuhadaa wapinzani wao? Kwa mfano batolion yenye wanajeshi elfu 3 vipi kiongonzi ambae ni brigedia anawezaje kuhakikisha kwamba wapiganaji wake wanafahamika kwenye uwanja wa vita.

Sent using Jamii Forums mobile app
01 April 2022: Hawa ndo Chechen wanaomsaidia Putin. Wapo Mkoani Mariupol wakibomoa nyumba huku wakitumia kifaru aina BTR-80/82 kama ngao kujikinga na risasi. Ingekuwep Silaha aina ya NLAW, wote wangeenda na maji. Tutawadaka tu. Mfano Bucha tumeshairudisha💪
 
Pamoja na Vita inayoendelea, dogo kaoa Uwanja wa Vita
Si Se Puede❤️❤️❤️
 
01 April 2022: Jeshi la Ukraine wakati linasonga mbele Mji wa Makiivka Mkoani Chernihiv wamefanikiwa kuharibu Vifaru aina ya BTR-82A, T-72B3 na gari aina ya TZM-T, TOS-1A thermobaric MRL.
20220401_192353.jpg
20220401_192351.jpg
20220401_192349.jpg
 
Utauawa. Utaonekana muasi. Watu wanatoka Dar wanaenda Morogoro, nawe unatoka Morogoro unaenda Dar, kisha wewe wa Morogoro ugeuze gari uanze shambulia Morogoro? Inawezekanaje? Sababu kila jeshi linapofila linaweka bendera yake. Na kila hatua Mkuu wenu anajua. Sababu Wanajeshi wapo kwa hesabu na wanajua nani yupo wapi? Wewe utakayevaa rebo utajiita kikosi gani? Mfano hawa hawa wachechen wanaomsaidia Urusi wanajiita Tik tok wakiwa Vitani. Huko mbele uepelekwa na gari gani? Nani anakupa muongozo wa kulipua mzinga? Sikuelewi. Hadi Silaha zina alama. Utatoa wapi? Asubuhi mumepewa majukumu halafu mtu aingie msijue? Mapigo yenu kanuaje? Hadi kuwe na muasi.

Vita ya Libya kuna jamaa kiongozi wa juu wa Jeshi alijiunga kwa Waasi ila nia ilikuwa kumpa taarifa Gadafi. Wakashangaa Kikosi chake wakikipa majukumu watu wanakufa, kila mbinu gadafi anapata taarifa. Ikabidi kiongozi wamuue ndipo waasi wakaukamata Mji wa Sirte Gadafi anapozaliwa. So Uasi upo. Ila ukigundulika hakuna nisamie, unajinyonga kwa mikono yako hadi ufe

Hata sijui nikufanulieje. Wanajeshi wanaenda kwa pamoja. Ukiwaacha wenzio unapigwa tu.
Mfano
View attachment 2172064
Poa Sana mkuu nmekusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mtu anakuja pigana nawe nyumbani kwako, ukipiga bomu unamaliza watoto wako na vitu vyako alafu unajisifu umewamaliza maadui wako...
 
Yaani hawa walikuwa wameishiwa Mabimu, Ukraine wakitumia Silaha aina ya Skif ATGM wameweza haribu Vifaru viwili aina ya TOS-1A thermobaric MRL vya Urusi
 
Angalia Helkopta ya Urusi aina ya Mi-28N ilivyodunguliwa na Vikosi vya Ukraine imeangushwa Mkoani Luhansk leo 01 April 2022.
 
Ukraine wamekamata Vifaru aina ya BTR-ZD "Skrezhet" na gari la airborne air defense na magari ya Ugavi manne. Haya magari yalitelekezwa na Urusi
 
Dini ya Kiislam imeenea sana. Hawa Chechnya ni Waislam jamii ya Suni. Tangu Karne ya 14. Wakati wa kuenea kqa dini, watu walifika Urusi. Ukizingatia Ukraine kulikuwa na Wayahudi. Watu wanadai huyu rais wa Ukraine ni Myahudi. Hii Vita Utafikiri Israel haimo, ila ndo nchi inapeleka misaada mingi kipindi hiki cha Vita. Hata Wataalam. Wamarekani na Waisrael wamejaa Ukraine tena Frontline. Wanajiita watu wa kujitolea. Urusi anapambana na Nchi nyingi. Sema hawajitangazi
Asante Sana kwa ufafanuzi wako nakuomba usife moyo kwa kazi unayofanya kutuletea updates za vita tunashukuru Sana na Mungu wa Mbinguni akubariki Sana.
Ukipata muda naomba utufafanulie je ni nini hatima ya hii vita?
Kwanini imeanza kipindi Cha mwaka 2022 na sio mwaka 2014 kipindi ambacho Crimia ilimegwa na Urusi?

Je baada ya hii vita nini kitatokea Duniani kiuchumi na kijeshi?

Je ni nini hatima ya China na Berarus kama Putin atashindwa vita na hatimae kianguka hatma ya ya haya mataifa itakuaje ?

Je Marekani anampango gani juu ya Taifa la Urusi kijeshi na kiuchumi?
Asante Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warusi walijua wamejificha. Drone za Ukraine zikawaanagamiza
 
Mkuu Maswali yako Magumu siyawezi. Wataalam watakujibu. Ninachojua, hii Vita Urusi anaweza kumpiga Ukraine ila hawezi kushinda. Mfano leo Warusi wamenyang'anywa Miji Mitatu walokuwa wanashikilia ikiwemo ngome ya ya Bucha.
 
Babe la mji, kuhusu ile hoja yako. Wakati Warusi leo wanafukuzwa Kyiv. Kifaru cha Urusi, kimelipua kifaru cha Urusi kwa bahati mbaya. Wamekosa mawasiliano na Uongizi imara. Wamekuja kwa njia moja lakini tumetawanya wakakimbia kwa njia saba. Kifaru cha Urusi aina ya T-72 kimelipua kifaru cha Urusi aina BMP. Hii drone ilikuwa inawapelekesha hadi wakachanganyikiwa. Vyote vililipuliwa.
 
Haya ni mabomu ya vifaru. Yanalipuka kitu kizito kikikanyaga. Sasa Warusi walipokuwa wanafurumushwa Mjini. Njiani wakawa wanayatega barabara. Ndo yanaondolewa na Vikosi vya ukraine ili magari yapite. Haya mabomu yanaitwa Land mine. Saa nyingine huwa yanafukiwa yasionekane, sasa hapo ni Lami.
 
Warusi wameukimbia Uwanja wa Hostomel au Antonov Airport

Huu Uwanja kila siku ulishuhudia mapigano tangu Vita vianze. Leo 01 April 2022 Urusi wamezidiwa wameamua kuukimbia. Uwanja upo Kasikazini Magaribi mwa Mji Mkuu Kyiv.
 
Angalia Warusi walivyoacha wametega mabomu. Ukikanyaga tu umekwenda na maji
 
Leo 01 April 2022 Ukraine wameurudisha Mji wa Bucha. Bucha ilikuwa Ngome ya Urusi. Sema wameacha wametega mabomu sana land mine. Video zinakuja. Hongera UA
20220401_201147.jpg
20220401_201152.jpg
 
Anapelekewa sasa ndani ya Russia, baada ya kuoneka kumbe superpower mchovu......
Ukraine imetuma helicopter mbili kulipua ghala la mafuta......
1648838264715.png

1648838340741.png

1648838362149.png
 
Anapelekewa sasa ndani ya Russia, baada ya kuoneka kumbe superpower mchovu......
Ukraine imetuma helicopter mbili kulipua ghala la mafuta......
View attachment 2172329
View attachment 2172331
View attachment 2172332
Kumbe nawe umeipata hii asante sana. Kwa wale wasiojua, Helcopter iliyotumika kwenye shambulizi hili ni aina ya Mil Mi-24. Ilikuwa inatembea chini chini, rada zikiwa zinaangalia Juu🤣🤣. Ilishawahi kwenda pia kulipua ghara ka Silaha hivi karibu na rubani yuleyule.
 
Back
Top Bottom