Yap! Wanasonga mbele kutoa kichapo kwa Mrusi. Tunawatakia kila la Kheri na kazi njema.Frontline wa Ukraine wanasonga mbele
View attachment 2327474
HahahaaaAngalia Drone inavyo watesa Warusi. Moja haikai wala mbili haikai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2327420
Angalia Drone inavyo watesa Warusi. Moja haikai wala mbili haikai🤣🤣🤣
View attachment 2327420
Ngoja tumsubiri mkuu figganigga ila moto tunatembeza usio wa kawaida.Wakuu matukio makubwa yametokea Ukraine. Updates please!