Wenzao wanakandamizwa hivo watadhubutu kwenda. Msikie tu HIMARS na M270 MLRS kwenye radio siyo kuwaona live wakiwa wanafanya vitu vyao. Bodo Drones zinavyowadonoa.Hivi wale chechnya waliokuwa wanasaidia Rusia waliishia wapi siwasikii tena
Acha kabisa, hata ungekuwa wewe usingedhubutu kabisa kupeleka pua pale na kugeuzwa kuwa mbolea. 😂😂😂