figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 kama movie vile kumbe wanaume wako kazini kumsakaFrontline ya Ukraine
View attachment 2325892
Imekula kwao warusiDrone inajiokotea Warusi
View attachment 2325881
Na waliambiwa tangu mwanzo kwamba "Jamani acheni haka kamchezo sio kazuri" lakini wapi. Wakakaza shingo . Sasa wanapelekeshwa hadi wanaomba poo.Imekula kwao warusi
Huyo jamaa aliyesimama tu pamoja na hiyo mvua ya moto kachanganyikiwa au ndo kujiamini kupita kiasi. 😂😂😂😂
Hadi raha. Jamaa wana silaha zinazotumia high technology. Wanadonolewa kama Kuku anaokota mahindi.