😂😂😂😂😂😂anauona kabisa mwisho wa dunia umefika. Anaangalia jamaa kwa jicho la hurumaMrusi haamini yupo chini ya Ulinzi🤣🤣
View attachment 2324676
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂anauona kabisa mwisho wa dunia umefika. Anaangalia jamaa kwa jicho la hurumaMrusi haamini yupo chini ya Ulinzi🤣🤣
View attachment 2324676
😂😂anatakiwa wamtoe Wenge kwanza akili ikae sawa.Mh! Mjinga kweli. Ataamini hapo watakapompasua kuondoa tope kichwani.
Kama ni ulinzi chini ya AZOV basi atumie muda wake vizuri kwa kusali na kuomba Toba kwa muumba wake kwani amabaki na muda kidogo sana akakutane naye. Hakuna cha jicho la Huruma hapo.😂😂😂😂😂😂anauona kabisa mwisho wa dunia umefika. Anaangalia jamaa kwa jicho la huruma
Kabisa mkuu.😂😂anatakiwa wamtoe Wenge kwanza akili ikae sawa.
Wagner Wamepasuka tena.
Walipost picha , jamaa wa ukrained wakazigeolocate hizo picha kisha wakawashushia mvua ya chuma ta HIMARS
KABLA YA SHAMBULIO.
View attachment 2324140View attachment 2324139View attachment 2324141
BAADA YA SHAMBULIO
View attachment 2324143View attachment 2324142
HIMARS anapenda minuso hatari 😂😂😂😂. Akisikia harufu tu kashatua.HIMARS linanipa raha sana ule mdude; dah! Popote penye aina yoyote ya wave (radio, x-ray, etc.) nearby within its sphere of influence; linanusa, linafanya calculation kwa kasi ya mwanga, likigundua ni waves za adui halina namna nyingine zaidi ya kupeleka moto! Bonge la kifaa daadeki!
Hawa sio Azov. Hawana mambo haya.. Azov leo wameteka Warusi tisa. Wamamuachia intake mpya ambaye hajawahi kuua awanyofoe roho🤣🤣. Saa nyingine nakuwa busy nakosa muda wa kupost. Nawahakikishia hamtapitwa na kitu labda wanitoe roho😂😂Kama ni ulinzi chini ya AZOV basi atumie muda wake vizuri kwa kusali na kuomba Toba kwa muumba wake kwani amabaki na muda kidogo sana akakutane naye. Hakuna cha jicho la Huruma hapo.
Duuh pongezi...bila hizi ripoti zako sisi tulio na mb za kuunga unga sijui tungepata wapi taarifa....maana youtube vifurushi viko juuHawa sio Azov. Hawana mambo haya.. Azov leo wameteka Warusi tisa. Wamamuachia intake mpya ambaye hajawahi kuua awanyofoe roho🤣🤣. Saa nyingine nakuwa busy nakosa muda wa kupost. Nawahakikishia hamtapitwa na kitu labda wanitoe roho😂😂
Tunakuombea kwa Mungu akulinde na kukuepushia mabalaa udumu katika HUDUMA hii ili tupate Taarifa zenye ukweli na uhakika - AMINA.Hawa sio Azov. Hawana mambo haya.. Azov leo wameteka Warusi tisa. Wamamuachia intake mpya ambaye hajawahi kuua awanyofoe roho🤣🤣. Saa nyingine nakuwa busy nakosa muda wa kupost. Nawahakikishia hamtapitwa na kitu labda wanitoe roho😂😂
Huko crimea tena kimewaka. Ghala la silaha la mrusi limelipuka huko Maisk'e village. Ministry of Defense ya Russia wanasema imesababishwa na moto
Hiyo mioto inajilipua tokea vita ianze tu?
Huko crimea tena kimewaka. Ghala la silaha la mrusi limelipuka huko Maisk'e village. Ministry of Defense ya Russia wanasema imesababishwa na moto
Huko crimea tena kimewaka. Ghala la silaha la mrusi limelipuka huko Maisk'e village. Ministry of Defense ya Russia wanasema imesababishwa na moto