Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

😂😂😂😂😂😂anauona kabisa mwisho wa dunia umefika. Anaangalia jamaa kwa jicho la huruma
Kama ni ulinzi chini ya AZOV basi atumie muda wake vizuri kwa kusali na kuomba Toba kwa muumba wake kwani amabaki na muda kidogo sana akakutane naye. Hakuna cha jicho la Huruma hapo.
 
Wagner Wamepasuka tena.
Walipost picha , jamaa wa ukrained wakazigeolocate hizo picha kisha wakawashushia mvua ya chuma ta HIMARS

KABLA YA SHAMBULIO.

View attachment 2324140View attachment 2324139View attachment 2324141

BAADA YA SHAMBULIO
View attachment 2324143View attachment 2324142

HIMARS linanipa raha sana ule mdude; dah! Popote penye aina yoyote ya wave (radio, x-ray, etc.) nearby within its sphere of influence; linanusa, linafanya calculation kwa kasi ya mwanga, likigundua ni waves za adui halina namna nyingine zaidi ya kupeleka moto! Bonge la kifaa daadeki!
 
HIMARS anapenda minuso hatari 😂😂😂😂. Akisikia harufu tu kashatua.

Likianza kutema kete ndo unaona raha ya kuwa na machine kama hiyo.

Ukisikia mwanaume machine ndo HIMARS mwenyewe. 😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wakuu kuna habari ya kushambuliwa kwa kambi ya wagner ambapo inasadikiwa wamepotezwa kama 100 hivi. Naomba mwenye news zaidi
 
Kama ni ulinzi chini ya AZOV basi atumie muda wake vizuri kwa kusali na kuomba Toba kwa muumba wake kwani amabaki na muda kidogo sana akakutane naye. Hakuna cha jicho la Huruma hapo.
Hawa sio Azov. Hawana mambo haya.. Azov leo wameteka Warusi tisa. Wamamuachia intake mpya ambaye hajawahi kuua awanyofoe roho🤣🤣. Saa nyingine nakuwa busy nakosa muda wa kupost. Nawahakikishia hamtapitwa na kitu labda wanitoe roho😂😂
 
Kila mtu anatoa alicho nacho. Latvia wametupa Helkopta nne. Mbili aina ya Mi-8MTV-1 na mbili aina ya Mi-2. Mzigo umefika salama. Alhamis utakuwa mzigoni Frontline
20220815_205048.jpg
20220815_205051.jpg
 
Hawa sio Azov. Hawana mambo haya.. Azov leo wameteka Warusi tisa. Wamamuachia intake mpya ambaye hajawahi kuua awanyofoe roho🤣🤣. Saa nyingine nakuwa busy nakosa muda wa kupost. Nawahakikishia hamtapitwa na kitu labda wanitoe roho😂😂
Duuh pongezi...bila hizi ripoti zako sisi tulio na mb za kuunga unga sijui tungepata wapi taarifa....maana youtube vifurushi viko juu
 
Hawa sio Azov. Hawana mambo haya.. Azov leo wameteka Warusi tisa. Wamamuachia intake mpya ambaye hajawahi kuua awanyofoe roho🤣🤣. Saa nyingine nakuwa busy nakosa muda wa kupost. Nawahakikishia hamtapitwa na kitu labda wanitoe roho😂😂
Tunakuombea kwa Mungu akulinde na kukuepushia mabalaa udumu katika HUDUMA hii ili tupate Taarifa zenye ukweli na uhakika - AMINA.
 
Leo Ukraine wameendelea kukinukisha Crimea. Hii kwa leo inatosha, si kwa maafa haya. Ghala kubwa la Silaha na risasi za Mrusi huko Crimea zimekwenda na maji. Sasa watafanyaje? Wafuasi wa Ukraine toshekeni.. Haya ni maangamizi makubwa, sione sababu ya kuendelea kupost leo. Tujipumzishe tuongalie hizi footages
 
Back
Top Bottom