Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hakuna kitu Marekani ilikuwa inatamani kama hiki.North Korea imetoa Wanajeshi 100,000 kuisaidia Urusi kwenye Vita vya Ukraine. Kati ya hao 50,000 ni Wajenzi. Wanataka wakajenge Miundombinu ya Mariupol.

Marekani itafanya juu chini japo kuteka Wanajeshi 2000 kati ya hao ili ipate Siri za Korea. Hawa Jamaa waligoma kushiriki vita yoyote. Sasa waneingia 18
View attachment 2322644
North Korea ataleta wafungwa waje pigana
 
Hakuna kitu Marekani ilikuwa inatamani kama hiki.North Korea imetoa Wanajeshi 100,000 kuisaidia Urusi kwenye Vita vya Ukraine. Kati ya hao 50,000 ni Wajenzi. Wanataka wakajenge Miundombinu ya Mariupol.

Marekani itafanya juu chini japo kuteka Wanajeshi 2000 kati ya hao ili ipate Siri za Korea. Hawa Jamaa waligoma kushiriki vita yoyote. Sasa waneingia 18
View attachment 2322644
Akiwateka dawa yao ni sumu tu
 
AIBU: Urusi ilikuwa inajidai ina jeshi kubwa, ina jeshi imara, Nchi ndogo kama Ukraine imewamaliza Wanajeshi wa Urusi hadi sasa inaomba Misaada ya kijeshi kutoka Korea, Syria Belarus nk. Nchi Tajiri inaombaomba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tuliwaambia hii vita Urusi hatoboi.
View attachment 2322759
Anaomba mpk South Africa, uganda, Egypt na Iran. Aibu y miaka
 
Wanajeshi wa Urusi wapo Izyum wanalalamika. Wanadai wenzao wengi wanakufa bila sababu. Wanasema hawaoni sababu ya msingi ya kuja kupambana Ukraine kwani wengi hawaoni msingi wa vita hata wakiulizwa kwanini wanafia Ukraine hawana sababu. Wanadai wanatumia Silaha za miaka ya 90s kupambana na HIMARS. Tunafanya nini huku? Hii Video ila caption
View attachment 2322773
Akili zimeanza kuwakaa sw
 
Hii ni kinyume na taratibu za Vita.

Jeshi la Urusi limepeleka MRLS zao kwenye Makazi ya watu kisha wanojificha ndani ya nyumba za wanachi.

Hapa Warusi Walikuwa wanashambulia Vikosi vya Ukraine mji wa Jirani. Wanafanya hivyo wakijua Ukraine wakijibu na Silaha nzito Wananchi wasio na hatia watakufa. Urusi wanatumia makazi ya Watu kama ngao. Waje Frontline, wanaogopa nini?
View attachment 2323115
Hahahaaa wamepagawa
 
North Korea ataleta wafungwa waje pigana
Hiyo ni akili matope. Yaani mtu ana stress za kufungwa unategemea akapigane tena siyo nchi yake. Hata ingekuwa nchi yake hawezi.

Waje tu tupate mbolea ya kutosha, maana mbolea ya makendee ina virutubisho vingi.
 
Kama Mlivyosikia, Ukraine wameshambulia Magala ya Silaha na Risasi huko Mariupol kwa kutumia Silaha aina ya M270 MLRS. Maafa ni Makubwa sana.. Urusi wanalia. Walikaa wakajisahau..
20220814_084421.jpg
 
Jana Ukraine walikuwa na Plan ya kuliangusha kabisa daraja la Antonovskiy lakini bahati mbaya hatujafanikiwa kama tulivyopanga. Makombora mawili tu ndo yalitua, manne Urusi waliyadaka. Tutarudia tena, safari hii tutatumia HIMARS.

Hili daraja la Kherson linatakiwa lishuke chini.

Tusubiri kuona picha za Uharibifu wa leo, hautakuwa mkubwa hata hivyo.. Hatupoi. Urusi kufaka haya Makombora manne leo Mtandaoni hatupumui. Sijui Niifute hii Video🤣
 
Hili ni daraja la Antonovskiy. Tusubiri kuona uharibifu.. Jana ilikuwa liondoke lote kukata Mawasiliano ya Crimea na Kherson. Tuaturudi tena.
View attachment 2323535
Hata hivyo ni step ahead. Maana sasa hivi wamebaki kujilinda badala ya kusonga mbele. Makombora mawili yaliyotua ni ishara nzuri kuwa wapambanaji wanaupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom