figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,001
Hawa ni wazee wa Mortar wa kikosi cha 22nd separate motorized infantry battalion wakionesha utaalam wao hadi wakaharibu Vifsru vya Urusi aina ya MT-LB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi nzuriiiiii sanaaa hiiHakuna furaha Mwanajeshi anaipata kama pale Urusi wanaponyang'anywa kifaru. Yaani Urusi wanaacha kifaru na kukimbia bila hata silaha. Jua wamepelekewa moto
View attachment 2293940View attachment 2293941View attachment 2293942View attachment 2293943
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,akili nyingiiKikosi cha Ukraine cha kikoai cha 45th Artillery Brigade. Wakiwa kazini utajua wapo elfu moja. Hawa ndo wanafanya Urusi wakimbie bila Viatu[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2293953
Msema kweli ni mpenzi wa mungu. Acha wafe lakini wamesema ukweliWanajeshi wa Urusi wapo Izyum wanalalamika. Wanadai wenzao wengi wanakufa bila sababu. Wanasema hawaoni sababu ya msingi ya kuja kupambana Ukraine kwani wengi hawaoni msingi wa vita hata wakiulizwa kwanini wanafia Ukraine hawana sababu. Wanadai wanatumia Silaha za miaka ya 90s kupambana na HIMARS. Tunafanya nini huku? Hii Video ila caption
View attachment 2322773
Kumekaribia kupambàzuka. Trend hii ikiendelea na wakaweka silaha chini. Safari ya kuikomboa Ukraine itakuwa rahisi sana. Crimea wataiachia kwa hiari.Kikosi cha Urusi cha 3rd rifle battalion nacho kimegoma kuendelea kupambana Ukraine
View attachment 2322788
Nimeipenda sana hii.
Kikosi cha Urusi cha 3rd rifle battalion nacho kimegoma kuendelea kupambana Ukraine
View attachment 2322788