Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mrusi hataki kukubali. Anadai ni hitilafu ilitokea bahati mbaya
Sio kweli kwenye OSINT yaani Open source investigation za Dunia nzima zimeona akiwa striked vikali na live.

Hana Cha kukataa defense system zake zime prove failure saana kwenye defense ya long range ya strings of powerful rocket.

Afu bahati mbaya ni picha za satellite ndio zinamchoresha maana Dunia nzima wanaona.
 
Huyu alikuwa Special Forces major Shtepa wa Urusi. Urusi wanajuta
20220813_075808.png
 
Back
Top Bottom