Alivyo kikimbiza kifaru hadi digidigi haoni ndani. πππππββοΈπββοΈUrusi wamezamisha kwenye maji kifaru chao. Wameona bora kufa kwa maji kuliko Javelin π€£π€£
View attachment 2320266
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alivyo kikimbiza kifaru hadi digidigi haoni ndani. πππππββοΈπββοΈUrusi wamezamisha kwenye maji kifaru chao. Wameona bora kufa kwa maji kuliko Javelin π€£π€£
View attachment 2320266
Halafu hawa wajinga walishasema kuwa HIMARS hazina lolote hazipigi target, halafu wakaja na nyingine eti zimepigwa zote!!! Sasa wamekuja na mpya!!! Nawashangaa!Wapo kule kijiweni kwao wanadanganyana eti Mrusi amedukua mfumo wa mawasiliano wa Kampuni ya Lockheed inayounda HIMARS kwamba mawasiliano yote yamevurugwa (yamepata virus) na hivyo kila kitu ni zii na hakuna antvirus hadi sasa.
Lakini cha ajabu ni kwamba mbabe wao huyo(Mrusi) anatimua mbio kule Crimea na kiwanja cha ndege ikiwa ni pamoja na ndege zilizokuwapo hapo uwanjani zimeteketezwa na HIMARS. Sasa wapi na wapi hawa pro Russia na uongo wao.
Inaaminika Hii ni hasara kubwa saana kwa jeshi la Russia. Zaidi ya dola million $400 zimetekea pamoja na marubani wengi ambao ni kazi kuwatengeneza saana.Kwa wale wasiojua jua ndege aina ya Sukhoi Su-30 zilizolipuliwa
View attachment 2320550View attachment 2320551
Mrusi hataki kukubali. Anadai ni hitilafu ilitokea bahati mbayaInaaminika Hii ni hasara kubwa saana kwa jeshi la Russia. Zaidi ya dola million $400 zimetekea pamoja na marubani wengi ambao ni kazi kuwatengeneza saana.
It's a deep wound kwa Mrusia kupoteza airbase nzima kwenye zone ya mpinzani asiekuwa na airbase eneo Hilo.
It's sad [emoji22]
Kapumzika kidogo anasubiria daladala akapitiwa na usingizi. Si Bora Angelala kwenye benchi na mizigo yake ikae chini. Sasa yeye kafanya kinyume chake. ππππ
Haya tuone. Ila Warusi wajiandae kupatwa na shinikizo la damu(High Blood pressure) hapo hiyo C-400 mpya itakaposhindwa kuwezesha utekelezaji wa matarajio yao. Yaani itakapofeli jumla/mazima.Urusi wameleta C-400 anti air system mpya kulinda daraja la Crimea. Ngoja tuone itakuaje.
View attachment 2320555
Yap! Hayo ndo matamshi na maneno yanayotakiwa yatoke kinywani mwa kiongozi mzalendo. Sio eti tutaisambaratisha Ukraine ndani ya masaa 72 au nazionya nchi yoyote isithubutu kuingilia .......... . Huo ni ujinga mtupu -ona sasa anatema damu mdomoni."Ukweli ni kwamba hii ni ardhi yetu, hii ni nchi yetu, watoto wetu ni Urithi wetu, Tutawalinda". By Zelensky
View attachment 2320557