figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #5,641
Warussi Lakini walishaambiwa tokea mwanzo ila basi tu ni ukaidi wao hawataki kuelewa.Azov hawajui mambo ya kuteka na kujisalimisha. Wanasema tumekuja kuua Warusi sio kuwateka. Hawataki kufa warudi walipotoka.
View attachment 2347931
Wanatendwa kama walivyowatenda raia wa Waukraine kule Bucha - Ili ngoma iwe droo.Full hii hapa. Baada ya kukamatwa na Azov wakajua hawatauawa.
View attachment 2347947
Ukipanda mahindi shambani -yataota mahindi. Ukipanda bangi shambani itaota bangi. Usitegemee upande fitina/dhiki halafu uvune faraja. Haiwezekani. Ukianzisha vita ujue utavuna vilio,misiba, simanzi na sononeko. Eti Mrusi anatoka mbali kote huko na libunduki lake kuja kuua Waukraine akitegemea Ukraine atamkenulia meno. Thubutu! Majibu yao ndo hayo. Waache ujinga.Warusi wanajuta. Nafuatwa inbox eti nisipost picha za kuwaumiza Warusi wa kwa Mpalange. Eti wataniripoti. Kwani kosa langu ni kuongea ukweli au? Kama wanaogopa kujiona wanavyokufa, Warudi kwao Urusi
View attachment 2347776View attachment 2347777View attachment 2347778
View attachment 2347779
They come to get what they deserve.Full hii hapa. Baada ya kukamatwa na Azov wakajua hawatauawa.
View attachment 2347947
Next time they should think twice.They come to get what they deserve.
Noma sana.Jamaa kajitengenezea nti-tank weapon. Hii inatumia Remote. Badala ya kutuma mtu, sasa Ukraine watakuwa wanatuma hiki kifaa kiwalipue then kinarudi speed. Mnaweza hata tegesha barabarani nyie mkajikalia mbali, Warusi wakipita tu wamekwisha
View attachment 2346116
Hahahaaa!! Shusha vitu mwanzo mpk mwishoWarusi wanajuta. Nafuatwa inbox eti nisipost picha za kuwaumiza Warusi wa kwa Mpalange. Eti wataniripoti. Kwani kosa langu ni kuongea ukweli au? Kama wanaogopa kujiona wanavyokufa, Warudi kwao Urusi
View attachment 2347776View attachment 2347777View attachment 2347778
View attachment 2347779