Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine wamefanya kazi kubwa hadi kuikomboa Shmidtove. Sasa tunaweza ingia Kherson kutokea Kaskazini. Warusi wametoka nduki.. Siku tatu za mashambulizi hazikwenda bure. Wananchi wameshuhudia Urusi wakiondoka mbio kuogopa watakufa
20220906_162523.jpg
61004925_301.jpg
 
Warusi wanajuta. Nafuatwa inbox eti nisipost picha za kuwaumiza Warusi wa kwa Mpalange. Eti wataniripoti. Kwani kosa langu ni kuongea ukweli au? Kama wanaogopa kujiona wanavyokufa, Warudi kwao Urusi
View attachment 2347776View attachment 2347777View attachment 2347778
View attachment 2347779
Ukipanda mahindi shambani -yataota mahindi. Ukipanda bangi shambani itaota bangi. Usitegemee upande fitina/dhiki halafu uvune faraja. Haiwezekani. Ukianzisha vita ujue utavuna vilio,misiba, simanzi na sononeko. Eti Mrusi anatoka mbali kote huko na libunduki lake kuja kuua Waukraine akitegemea Ukraine atamkenulia meno. Thubutu! Majibu yao ndo hayo. Waache ujinga.
 
Back
Top Bottom