figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #5,661
Mzigo unatoka speed ya balaa with accurate haha.HIMARS zikituma Mzigo kwa Warusi
View attachment 2348502
Iran anapeleka mzigo Ukraine?Ukraine imepokea Makombora aina ya 122mm ammo kutoka Iran. Haya yametengenezwa 2022
View attachment 2348504
Peleka MOTOOOFrontline wanazidi kuchanja mbuga
View attachment 2348491
Ukraine watakuwa wameupata huo mzigo kupitia the Third Party, Most likely kutokea Iraq ambao ni washirika wa IranIran anapeleka mzigo Ukraine?
Ooh! Kuna mzigo wa kutosha mbona wa Iran Frontline? Tangu mwezi wa nne, naona Ukraine wanatumia mzigo toka Iran..Iran anapeleka mzigo Ukraine?
Wanajeshi wa Urusi wananikumbusha wanajeshi wa Kenya walivyoingia Westgate kukabikiana na Alshabaab full kuiba mpaka chocolate.Hatushangai Urusi kutelekeza Silaha zao, ila tunashangaa Mashine ya kufulia nguo imefikaje Msituni. Jamani Urusi ni Vibaka, wanaiba kila wanachokutana nacho hadi nafaka
View attachment 2348495
They are very motivated and eager to regain their territories from the Fascist .Frontline wanazidi kuchanja mbuga
View attachment 2348491
HIMARS ananipa raha sana. Ikikuona tu umekwisha. Sasa naanza kuelewa kwa nini warusi wanachimbia vifaru chini na kuvifunika mabati.Jana s-300 air defense system storage site ya Urusi iliyokuwa Kharkiv, karibu na Balakliya imelipiliwa. Hii ni picha ya drone
View attachment 2348493