Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia ile ndege ya Urusi aina ya Su-25 nilipost hapo juu, jinsi ilivyo dondoshwa huko Volokhiv Yar, Mkoani Kharkiv
 
Ukraine Russia Iran map.png
 
Panya wengine wa Urusi hawa hapa wamedakwa. Hadi Mwanajeshi wa Urusi ajisalimishe jua kapelekewa moto wa kutosha na wengi wanakuwa wamekufa. Wiki hii imekuwa nzuri kwa Ukraine
 
Back
Top Bottom