Hahaa mkuu mana yake Iran atakuwa anamzunguka mshirika wake?Ooh! Kuna mzigo wa kutosha mbona wa Iran Frontline? Tangu mwezi wa nne, naona Ukraine wanatumia mzigo toka Iran..
Fuatilia hata mitandaoni utakuta.
Hivi mkuu kharkiv si ilikuwa chini ya ukraine? Ile miji iliyokombilewa mwanzo kharkiv haikuwepo?Kharkiv pamotooo
Hapa nimekusoma mkuu.Hili eneo huko Kharkiv lilikaliwa na Urusi tangu vita ianze Februari. Leo wananchi wamefurahia ujio wa Makamanda baada ya Urusi kufungasha vilago
View attachment 2349101
Halafu wanaume wakija wanavitelekeza hapo na kukimbia hata bila viatu. Shenz type.HIMARS ananipa raha sana. Ikikuona tu umekwisha. Sasa naanza kuelewa kwa nini warusi wanachimbia vifaru chini na kuvifunika mabati.
Naam; Ukraine anatema "cheche" mkoani Kharkiv - hapatoshi na pamechimbika. Hadi Luteni Kanali anajisalimisha. Hahahaaa.Frontline Mkoani Kharkiv
View attachment 2349073
Nadhani sasa hao mateka waliokamatwa including afande Luteni kanali wao wanamwomba mungu wao awaepushie kikombe cha AZOV walau waendelee kuliona jua la dunia hii.Huyu lieutenant colonel kakamatwa Kharkiv. Urusi ni kuwapelekea moto hadi maji waite mmaa
View attachment 2349078
kiitiko: Motooooo;Kharkiv pamotooo
I understand these guys are very disciplined soldiers.They are very motivated and eager to regain their territories from the Fascist .
Big up Ukrainian troops.
Vita ni biashara za watu. Ndo maana kuna watu hawataki hii vita iisheHahaa mkuu mana yake Iran atakuwa anamzunguka mshirika wake?
Kweli sio kazi ndogo.Hangereni sana. Kaza buti ondoeni huo uchafu hapo.Yaani ndani ya Usiku mmoja, tumewakimbiza Warusi Umbali wa 20 KM. Yaani Warusi wamerudi nyuma 20 km usiku mmoja.
View attachment 2349197
Shehe Irani kumbe watu wema hivi......si nasikia wapo pamoja na urusi au??Ukraine imepokea Makombora aina ya 122mm ammo kutoka Iran. Haya yametengenezwa 2022
View attachment 2348504
Aisee! Wakipeleka AZOV vikosi vitatu huko mbona hakutakuwa na mateka wa kutoka Kherson? - AZOV watawasuuza mateka wote.Wavamizi wengine hawa hapa. Ukileta jeuri shaba, ukitulia unafungwa kamba. Kherson wapelekwe hata Azov vikosi vitatu tu.
View attachment 2349201
Mjomba; Biashara haina cha ndugu. Wewe toa hela chukua mzigo - over and out.Shehe Irani kumbe watu wema hivi......si nasikia wapo pamoja na urusi au??
Hapa mkuu umeongea kikubwa sana nimekuelewa.Vita ni biashara za watu. Ndo maana kuna watu hawataki hii vita iishe
Bora Azov waende ukoWavamizi wengine hawa hapa. Ukileta jeuri shaba, ukitulia unafungwa kamba. Kherson wapelekwe hata Azov vikosi vitatu tu.
View attachment 2349201
Wamewauzia drones Urusi. Wapo kibiashara zaidi.. Syria ndo wapo na Urusi. Kama tutaona Wanajeshi wa Iran Ukraine, ndo tutasema kweli Iran ipo na Urusi.Shehe Irani kumbe watu wema hivi......si nasikia wapo pamoja na urusi au??