Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

HIMARS ananipa raha sana. Ikikuona tu umekwisha. Sasa naanza kuelewa kwa nini warusi wanachimbia vifaru chini na kuvifunika mabati.
Halafu wanaume wakija wanavitelekeza hapo na kukimbia hata bila viatu. Shenz type.
 
Yaani ndani ya Usiku mmoja, tumewakimbiza Warusi Umbali wa 20 KM. Yaani Warusi wamerudi nyuma 20 km usiku mmoja.
IMG_20220907_201107_059.jpg
 
Urusi imetaja nchi rafiki kutoka Afrika, Tanzania haimo. Sasa Waletwe watu wao Frontline. Watakula risasi za kichwa. Nchi rafiki walizotaja ni: Burundi, Guinea, Cameroon, Mali, Sudan, Uganda, Chad, Ethiopia na South Afrika.
 
Haya ndo Makombora aina ya Harpoon. Yana speed kubwa. Yakitua yanakuwa na uzito wa kg 225. Yametoka Marekani. Hii inamanisha ni mipango ya kulipua daraja la Crimea
 
Naona Urusi wabataka kutoroka na mzigo wako. Hapa ni Dzhankoy huko Crimea. Hapa kuna risasi sijui tuite Makombora pamoja na Magari aina ya BM-21 Grad MLRS yapo pembeni ya reli, wabasubiri treni hawa. Wanataka kutoroka ukute🤣🤣🤣

Walikuja kufanya nini sasa? Watulie
 
Back
Top Bottom