Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Duu hatari. Pengine hii ndo sababu kaamua kuomba silaha Korea ili aje kujibu mapigo.
Ohoo! Kumbe majigambo yake yooote, yani hilo hana majibu nalo ila ni mpaka akaombe apigwe tafu - msaada wa silaha nje ya himaya yake? Atakaa sana. Mrussi mbona sasa ameanza kukimbiakimbia huko na huko akihaha kutaka msaada wa silaha? Imekuwaje tena mbabe anaomba maji ya kunywa?
 
Kawa mpole na anaona aibu kama anatogozwa vile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio kwamba anaona aibu bali anajaribu kubembeleza (solicit)na kuamsha moyo wa huruma wa watekaji(Ukraine)ili wasimmalizie salio papo kwa hapo. Ila kama watekaji ni vijana wasio na kanuni haitasaidia kitu. Habari yake ndo imeishia hapo. 😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…