figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,721
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana . Huo ni mtaji tayari.Ukraine imepata wafungwa wengi sana
Yap! Drone katika ubora wake. Safi sanaaa.
Naam. Kwa kweli Urussi wanashughulikiwa ipasavyo. Kongole Ukraine.View attachment 2349799
Iveco LMV
Hivi hata drones au wale wazee wa HIMARS na Howitzers ni lazima watumie daraja hilo?Wakati wanaretreat, Urusi wamebomoa daraja la Balakliya, ili wasifuatwe
View attachment 2349613
Yeah. Ukraine Soldiers wako vizuri mno na tunawaombea kwa Mungu ili awafanyie wepesi wamng'oe huyo fashisti na aondoke (dead or alive) katika ardhi ya Ukraine anayoihodhi kwa mabavu.Majeshi ya Ukraine yakiingia Balakliya
View attachment 2349610
Hiyo Imekula kwao 🙄Mamia ya Wanajeshi wa Urusi wamekamatwa walivyo jaribu kutoroka Balakliya. Walikuwa washazungukuwa tayari
View attachment 2349607
Duu hatari. Pengine hii ndo sababu kaamua kuomba silaha Korea ili aje kujibu mapigo.Haya ndo Makombora aina ya Harpoon. Yana speed kubwa. Yakitua yanakuwa na uzito wa kg 225. Yametoka Marekani. Hii inamanisha ni mipango ya kulipua daraja la Crimea
View attachment 2349354
Ohoo! Kumbe majigambo yake yooote, yani hilo hana majibu nalo ila ni mpaka akaombe apigwe tafu - msaada wa silaha nje ya himaya yake? Atakaa sana. Mrussi mbona sasa ameanza kukimbiakimbia huko na huko akihaha kutaka msaada wa silaha? Imekuwaje tena mbabe anaomba maji ya kunywa?Duu hatari. Pengine hii ndo sababu kaamua kuomba silaha Korea ili aje kujibu mapigo.
Kawa mpole na anaona aibu kama anatogozwa vile 😂😂😂😂Mamia ya Wanajeshi wa Urusi wamekamatwa walivyo jaribu kutoroka Balakliya. Walikuwa washazungukuwa tayari
View attachment 2349607
Sio kwamba anaona aibu bali anajaribu kubembeleza (solicit)na kuamsha moyo wa huruma wa watekaji(Ukraine)ili wasimmalizie salio papo kwa hapo. Ila kama watekaji ni vijana wasio na kanuni haitasaidia kitu. Habari yake ndo imeishia hapo. 😱Kawa mpole na anaona aibu kama anatogozwa vile 😂😂😂😂
Inatia moyo sana. Hongera Ukraine troopsNdani ya siku mbili, Wanajeshi wa Ukraine wameingia Balaklia 100%
Tangu February Urusi walikuwa wameikalia Balaklia kimabavu
View attachment 2350575
Fashisti hakuamini kwamba licha ya kujichimbia hapo kwa muda wa takriban miezi 8, atafurushwa kutoka hapo ndani ya siku mbili. Ukaraine ni moto wa kuotea mbali.Ndani ya siku mbili, Wanajeshi wa Ukraine wameingia Balaklia 100%
Tangu February Urusi walikuwa wameikalia Balaklia kimabavu
View attachment 2350575
Huu ni uthibitisho kwamba wananchi mkoani Kharkiv walikuwa wamewachoka na kukerwa mno na Warussi-Wavamizi. Wanafurahi kwani Ukombozi wao umewadia.Angalia wananchi wanavyo pokea Wanajeshi wa Ukriane wakati wakiingia Mkoani Kharkiv
View attachment 2350581