Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kazi ya jeshi ni kifo mkononi, kwa nchi zenye vita
Ni kweli ila kwa hili Sio kwa mapenzi yao hao wanajeshi ila Huyo Joka ndo kawafikisha hapo. Vita inakuwa ni pale tu ambapo hakuna tena muhali ili suluhu ipatikane. Lakini Mrussi hakuwa na sababu yoyote ya kimsingi ya kuanzisha hiyo vita baina yake na Ukraine. Ni ubabe tu lakini sasa Mrussi anajutia na imekuwa ni aibu kubwa kwake.
 
Wanajeshi wa Urusi walioko Ukrane wangejisalimisha tu wote, waombe na uraia wa huko huko, ili kunusuru vifo vyao
 
Wanajeshi wa Urusi walioko Ukrane wangejisalimisha tu wote, waombe na uraia wa huko huko, ili kunusuru vifo vyao
Kwa kweli ingependeza sana. Changamoto kubwa inakuwa ni pale watakapojisalimisha na kwa bahati mbaya wakajikuta wamejisalimisha mikononi mwa vijana wasio na kanuni - AZOV. AZOV hawachukui mateka kwa madai kwamba hawana muda wa kuwalinda wasitoroke na pia hawana chakula cha kuwalisha. Isitoshe wana hasira sana na Mrussi kwa kile Mrusi alichowatendea kule Mariopol (Kiwanda cha chuma). Kwa hiyo wao huwaua tu.
 
Maana leo nasikia mrusi kanyoosha maelezo...uzuri wa Ukraine wanakimbiza mbwa kimya kimya...ukija kusikia bwaaiiih..! Kavunjwa miguu..
Asee; Ukraine namkubali mno. Iko akili mingi. Yaani Ukraine anatwangaaa (silently)baadaye ukijashtuka hata bendera ya Ukraine zilishapandishwa kitambo. Ila tuwe wakweli, Mrusi anadhalilishwa kishenzi yan. Hata wale pro-Russia huku kwetu bongo naona wamejikatia tamaa wapo kimyaaa Utafikiri wanapata poo.
 
Wamebakia kusema kuna kitu mrusi anakisikilizia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Maybe anasikilizia "Drip" inavyoingia. Jitu lenye makelele mengi ukiona' paaap! limekuwa kimyaa ujue liko mahututi au ndo kwishney kabisa liko mochuari.
Halafu Putin ni mpumbavu mno anatishia watu kuwa ana nyuklia, hivi katika dunia ya leo ambayo hadi m-south Africa anayo nyuklia unaweza kweli kumtishia mmarekani ambaye aliitumia kwa vitendo karne ya 19 kweli..??
 
Halafu Putin ni mpumbavu mno anatishia watu kuwa ana nyuklia, hivi katika dunia ya leo ambayo hadi m-south Africa anayo nyuklia unaweza kweli kumtishia mmarekani ambaye aliitumia kwa vitendo karne ya 19 kweli..??
Ndo hapo sasa unamtishia mtu mzima "Nyau" kama mtoto. Huyo jamaa amedhihirisha utaahira alionao kwa kutishia kulipua vile vinu vya nuklia vilivyoko Ukraine na ambavyo yy ndo alikuwa anavihodhi kiubabe na kusahau kwamba nuklia hizo hazitobagua mlipuaji na mlengwa. Wote Mrusi,Ukraine na Mataifa mengine duniani yataathirika vibaya. Ameshasahau ajali ya Chernobyil. Huyo dish limeyumba kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…