Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kwenye hii counter offensive HIMARS zilifyekelea mbali ghala la silaha la Warusi. Wayukrain baada ya kusomga mbele walipata fursa ya kujionea kwa macho yao kilichofanywa na kikosi kinachooperate HIMARS

View attachment 2353958
Warussi wamebamizwa na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji mbele ya kundi la mbwa mwitu.Majigambo yameisha Mrussi ameinamisha kichwa.
 
Je wataweza kulinda hayo maeneo yasichukuliww Tena!?
Sasa hivi Wayukrain wana counter offensive weapons bora zaidi, wana experience zaidi, wana morali mkubwa zaidi. Na nchi za NATO zina mzuka wa kuendelea kuisaidia Ukraine silaha.

On the otherhand, Warusi uwezo wao wa counter offensive umepungua sana, maghala yao mengi sana ya silaha yamelipuliwa, morali ya Askari iko chini, logistics zao zimekuwa disturbed kwa kiasi kikubwa. Inamhitaji Mrusi miaka zaidi ya mitano kuweza kutengeneza uwezo wake wa kijeshi aliokuwa nao kabla hajaivamia Ukrain
 
Je wataweza kulinda hayo maeneo yasichukuliww Tena!?
Yachukuliwe na nani tena? Thubutu. Mbona Aliyekuwa na kiherehere cha kujitwalia maeneo ya nchi nyingine(Mrussi) kinguvunguvu hatokaa arudie kitendo hicho kutokana na kipigo alichokipata? Amevunjwa kiuno kabisa. Hata hivyo amepoteza sana wanajeshi wake wengi, miundombinu yake imevurugwa, wananchi na baadhi ya wanajeshi wake hawana tena hamu na uongozi wake
na kwa mtu mwenye busara SOMO alilolipata linamtosha -atulie agange majeraha.
 
Ukraine imefanikiwa kupata silaha, mizinga, vifaru, magari, risasi, mafuta, ndege zisizo na rubani

Teknolojia

Warusi wameamua kuweka silaha chini na kumpuuza Putin, vinginevyo wangetakiwa waharibu vifaa ili Ukraine isivipate
Huo ndo ukweli wenyewe. Haileti mantiki eti Mrussi agawe vifaa vingi na silaha nyingi hivyo halafu akimbie kana kwamba hatovihitaji tena hivyo vifaa na silaha mbele ya safari. Kwa akili ya kawaida hapo ni ame-surrender na amejiokoa uhai wake. Hiyo ni ishara wazi kwamba hata huko maeneo mengine huenda askari wa Urussi watafanya hivyo hivyo. Nauona mwisho wa Mrussi ukija kwa kasi sana kuelekea ukingoni. Bado kidogo tu utasikia "Game Over"
 
Huo ndo ukweli wenyewe. Haileti mantiki eti Mrussi agawe vifaa vingi na silaha nyingi hivyo halafu akimbie kana kwamba hatovihitaji tena hivyo vifaa na silaha mbele ya safari. Kwa akili ya kawaida hapo ni ame-surrender na amejiokoa uhai wake. Hiyo ni ishara wazi kwamba hata huko maeneo mengine huenda askari wa Urussi watafanya hivyo hivyo. Nauona mwisho wa Mrussi ukija kwa kasi sana kuelekea ukingoni. Bado

Wakati anatagaza Counter Offensive, Zelensky aliwaambia wanajeshi wa Urusi, wajisalimishe au Wakimbie Warudi Urusi. Alikuwa hatanii.

Kuhusu jeshi la Urusi, Masoldier wanalalamika hadi kukosa basic stuff kama vile chakula, madawa ya kutibu majeraha, hata vifaa vyao vya kivita vingi vibovu. Morali iko chini sana!

Hebu tazama hii video, wachambuzi wa masuala huko Urusi, katika TV ya Urusi wakielezea namna walivyokula kichapo ktk counter offensive inayoendelea huko Ukraine

View attachment 2354399
Mkuu kwa heshima na taadhima; hii video tafadhali inanzishie uzi wake unaojitegemea angalau "matomaso" wapate kuamini. Very important discussion.
 
Sasa hivi Wayukrain wana counter offensive weapons bora zaidi, wana experience zaidi, wana morali mkubwa zaidi. Na nchi za NATO zina mzuka wa kuendelea kuisaidia Ukraine silaha.

On the otherhand, Warusi uwezo wao wa counter offensive umepungua sana, maghala yao mengi sana ya silaha yamelipuliwa, morali ya Askari iko chini, logistics zao zimekuwa disturbed kwa kiasi kikubwa. Inamhitaji Mrusi miaka zaidi ya mitano kuweza kutengeneza uwezo wake wa kijeshi aliokuwa nao kabla hajaivamia Ukrain
Logistic mbuvu ndo imevuruga kila kitu kwenye jeshi la Russia
 
Back
Top Bottom