Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Excellent. Waondoshe hiyo takataka kabisa ili watu watulie wafanye shughuli za maendeleo.Wanaume wameshaingia katikati ya mji wa Izyum, sasa hivi wanafyagiafyagia
View attachment 2353956
Warussi wamebamizwa na kutawanyika kama kondoo wasio na mchungaji mbele ya kundi la mbwa mwitu.Majigambo yameisha Mrussi ameinamisha kichwa.Kwenye hii counter offensive HIMARS zilifyekelea mbali ghala la silaha la Warusi. Wayukrain baada ya kusomga mbele walipata fursa ya kujionea kwa macho yao kilichofanywa na kikosi kinachooperate HIMARS
View attachment 2353958
Yes. Wamepata kibano kitakatifu Hahahaa. Almanusra waache na suruali. Daadek!Wayukrain walipokuwa wanasonga mbele kuelekea Izyum, Warusi walikimbia na kuacha vidaa kibao nyuma
View attachment 2353957
Watakaoshindwa kukimbia watajua wenyewe. Lakini si waliambiwa toka mwanzo waachane na hii kitu(Vita) wao wakakaza shingo?. Sasa wanapumulia chock.Mambo ni matamu tu bado moto unapelekwa mpaka wakimbie wote
Sasa hivi Wayukrain wana counter offensive weapons bora zaidi, wana experience zaidi, wana morali mkubwa zaidi. Na nchi za NATO zina mzuka wa kuendelea kuisaidia Ukraine silaha.Je wataweza kulinda hayo maeneo yasichukuliww Tena!?
Yachukuliwe na nani tena? Thubutu. Mbona Aliyekuwa na kiherehere cha kujitwalia maeneo ya nchi nyingine(Mrussi) kinguvunguvu hatokaa arudie kitendo hicho kutokana na kipigo alichokipata? Amevunjwa kiuno kabisa. Hata hivyo amepoteza sana wanajeshi wake wengi, miundombinu yake imevurugwa, wananchi na baadhi ya wanajeshi wake hawana tena hamu na uongozi wakeJe wataweza kulinda hayo maeneo yasichukuliww Tena!?
Hongera sana wapambanaji wa Ukraine. Ingekuwa ni Draft-game, hapo Ukraine ameingia "king". Mrussi ametimua vumbi.Wanaume wa Ukraine wamechapa hadi kufika katika mpaka wao na Urusi huko ktk uelekeo wa Kharkiv. Hapa Soldier wa Ukraine wakikagua crossing ya mpaka!
View attachment 2354270
Huo ndo ukweli wenyewe. Haileti mantiki eti Mrussi agawe vifaa vingi na silaha nyingi hivyo halafu akimbie kana kwamba hatovihitaji tena hivyo vifaa na silaha mbele ya safari. Kwa akili ya kawaida hapo ni ame-surrender na amejiokoa uhai wake. Hiyo ni ishara wazi kwamba hata huko maeneo mengine huenda askari wa Urussi watafanya hivyo hivyo. Nauona mwisho wa Mrussi ukija kwa kasi sana kuelekea ukingoni. Bado kidogo tu utasikia "Game Over"Ukraine imefanikiwa kupata silaha, mizinga, vifaru, magari, risasi, mafuta, ndege zisizo na rubani
Teknolojia
Warusi wameamua kuweka silaha chini na kumpuuza Putin, vinginevyo wangetakiwa waharibu vifaa ili Ukraine isivipate
Huo ndo ukweli wenyewe. Haileti mantiki eti Mrussi agawe vifaa vingi na silaha nyingi hivyo halafu akimbie kana kwamba hatovihitaji tena hivyo vifaa na silaha mbele ya safari. Kwa akili ya kawaida hapo ni ame-surrender na amejiokoa uhai wake. Hiyo ni ishara wazi kwamba hata huko maeneo mengine huenda askari wa Urussi watafanya hivyo hivyo. Nauona mwisho wa Mrussi ukija kwa kasi sana kuelekea ukingoni. Bado
Mkuu kwa heshima na taadhima; hii video tafadhali inanzishie uzi wake unaojitegemea angalau "matomaso" wapate kuamini. Very important discussion.Wakati anatagaza Counter Offensive, Zelensky aliwaambia wanajeshi wa Urusi, wajisalimishe au Wakimbie Warudi Urusi. Alikuwa hatanii.
Kuhusu jeshi la Urusi, Masoldier wanalalamika hadi kukosa basic stuff kama vile chakula, madawa ya kutibu majeraha, hata vifaa vyao vya kivita vingi vibovu. Morali iko chini sana!
Hebu tazama hii video, wachambuzi wa masuala huko Urusi, katika TV ya Urusi wakielezea namna walivyokula kichapo ktk counter offensive inayoendelea huko Ukraine
View attachment 2354399
Logistic mbuvu ndo imevuruga kila kitu kwenye jeshi la RussiaSasa hivi Wayukrain wana counter offensive weapons bora zaidi, wana experience zaidi, wana morali mkubwa zaidi. Na nchi za NATO zina mzuka wa kuendelea kuisaidia Ukraine silaha.
On the otherhand, Warusi uwezo wao wa counter offensive umepungua sana, maghala yao mengi sana ya silaha yamelipuliwa, morali ya Askari iko chini, logistics zao zimekuwa disturbed kwa kiasi kikubwa. Inamhitaji Mrusi miaka zaidi ya mitano kuweza kutengeneza uwezo wake wa kijeshi aliokuwa nao kabla hajaivamia Ukrain