Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi imeahirisha kupeleka vikosi vipya Ukraine,
IMEOGOPAAAA .... Huyu fala asidanganye watu eti ameahirisha. Kila akipeleka hata kabla ya kufika Ukraine anavinywa vyote. Mbinu za "Nimeamuru wanajeshi wa Urussi waondoke waache silaha na wasiharibu kitu, Nimeahirisha kupeleka vikosi vipya Ukraine..." na blaablaa nyingi anamwongopea nani?
 
Taha sana unapoona adui akichezea kichapo
Kweli ni raha sana hadi roho inasuuzika. Hii clip inakonga/inakata kiu za watu wasiopenda uonevu na ubabe wa kijingajinga kama wa Mrussi. Waliingia kwenye cab lakini hakuna aliyetoka.
 
Kumbuka Russia haijawa defeated Kyiv Bali iliwithdraw wanajeshi wake ili kutengeneza mazingira ya uaminifu Kwa ajili ya mazunguMzo ya amani
Haya ni maelezo yako binafsi.

wao walichosema ni kwamba wanahamishia operations kusini na mashariki mwa ukraine.
 
Mambo ni mengi. Ila kuikomboa Izyum, ni habari njema. Na Urusi wataendelea kupigwa hadi wajute. Izyum imechukua karibia miezi 4 kuikamata.

Urusi hawana Siku nyingi Ukraine. Kazi ilobaki sasa ni kuua tu. Tunaangalia uwezekano wa kutumia ndege. Mungu ni mwema
Your browser is not able to display this video.
 
Habari njema,hebu turushie mapichapicha ya frontline,nasikia hapa redioni Mr Zelensky ametua huko kuwatia moyo wapambanaji
 
Muda wowote USA na washirika wake NATO wanatoa ndege kuja kummaliza Mrusi.Wale marubani wa Ukerein waliokuwa wanapewa mafunzo tayali wamehitimu na huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Rusia na Duniani pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…