OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Mh! Sidhani. Tusubiri -Muda utasema.Unaweza kuwa tric.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Sidhani. Tusubiri -Muda utasema.Unaweza kuwa tric.
IMEOGOPAAAA .... Huyu fala asidanganye watu eti ameahirisha. Kila akipeleka hata kabla ya kufika Ukraine anavinywa vyote. Mbinu za "Nimeamuru wanajeshi wa Urussi waondoke waache silaha na wasiharibu kitu, Nimeahirisha kupeleka vikosi vipya Ukraine..." na blaablaa nyingi anamwongopea nani?Urusi imeahirisha kupeleka vikosi vipya Ukraine,
Raha sana unapoona adui akichezea kichapo
Kweli ni raha sana hadi roho inasuuzika. Hii clip inakonga/inakata kiu za watu wasiopenda uonevu na ubabe wa kijingajinga kama wa Mrussi. Waliingia kwenye cab lakini hakuna aliyetoka.Taha sana unapoona adui akichezea kichapo
Haya ni maelezo yako binafsi.Kumbuka Russia haijawa defeated Kyiv Bali iliwithdraw wanajeshi wake ili kutengeneza mazingira ya uaminifu Kwa ajili ya mazunguMzo ya amani
Haya masanduku yanafaa kwa mizinga ya nyuki 😛.Warusi wanakimbia wanaacha mzigo
View attachment 2342202
Habari njema,hebu turushie mapichapicha ya frontline,nasikia hapa redioni Mr Zelensky ametua huko kuwatia moyo wapambanajiMambo ni mengi. Ila kuikomboa Izyum, ni habari njema. Na Urusi wataendelea kupigwa hadi wajute. Izyum imechukua karibia miezi 4 kuikamata.
Urusi hawana Siku nyingi Ukraine. Kazi ilobaki sasa ni kuua tu. Tunaangalia uwezekano wa kutumia ndege. Mungu ni mwema
View attachment 2356630
Muda wowote USA na washirika wake NATO wanatoa ndege kuja kummaliza Mrusi.Wale marubani wa Ukerein waliokuwa wanapewa mafunzo tayali wamehitimu na huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Rusia na Duniani pia.Mambo ni mengi. Ila kuikomboa Izyum, ni habari njema. Na Urusi wataendelea kupigwa hadi wajute. Izyum imechukua karibia miezi 4 kuikamata.
Urusi hawana Siku nyingi Ukraine. Kazi ilobaki sasa ni kuua tu. Tunaangalia uwezekano wa kutumia ndege. Mungu ni mwema
View attachment 2356630
Aiseee