figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #5,941
Ukatili uliokithiri wa Mrusi ndo unaowatesa. Kwa mambo kama hayo hakika Mrusi ataishia kwenye laana itakayommaliza jumla. Ng'ombe kamkosea nini?Wanajeshi wa Urusi wameacha wameua ng'ombe wa Mkulima wa Ukraine. Aibu sana
View attachment 2357376
Wanabomoa miundombinu, sehemu za historia na kuiba nafaka piaUkatili uliokithiri wa Mrusi ndo unaowatesa. Kwa mambo kama hayo hakika Mrusi ataishia kwenye laana itakayommaliza jumla. Ng'ombe kamkosea nini?
Si wawakimbize na mabomu.Kreminna inakimbiwa na Urusi. Watulie wapate chai yao
View attachment 2357504
Na wengine wawahi Crimea.....chap mwezi ujao kazi iwe imeishaMajeshi ya Urusi yameikimbia Kharkiv na kuacha zana zao za Vita. Sasa wameenda Luhansk. Tunawafuata. Hadi warudi kwao
View attachment 2357479