Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wamepelekewa moto hadi wanasema waliowashambulia ni NATO. Hawaamini macho yao. Hapa wakiikimbia Izyum
View attachment 2357488
Hao Warusi ni wapumbavu. Si wangelisubiri hapo ili wapate uthibitisho kwamba anayewashambulia ni NATO?. Jinga sana Urussi. Wanaendelea kubarikiwa kichapo kitakatifu hadi akili ziwakae sawa.
 
Back
Top Bottom