Hebu ngoja kidogo....hawa jamaa kama vile wamemsusa Putin yaani mabomu wanayaacha mazima mazi hivyo bila kulipuaHakika Urusi wametuachia mzigo wa kutosha. Warusi manaenda kufa vizuri sasa
View attachment 2357692View attachment 2357693View attachment 2357694View attachment 2357695View attachment 2357696View attachment 2357697View attachment 2357698
SafiiKama kweli Urusi inaretreat kutoka Lysychansk, ni habari njema kwa Ukriane sababu Lysychansk ndo kuna Visima vya mafuta vya Ukraine.
View attachment 2357507
Timu yake iwe makini,huyo shujaa wa dunia sasahiviView attachment 2357373
Rais Zelensky kapata ajali ya gari. Hajaumia sana...
Kweli Ubabe haulipi, Haujawahi kumwacha Mbabe salama. Mungu yu na Waukraine. Jua la Ushindi limechomoza. Hongera sana wapiganaji wa Ukraine.Majeshi ya Ukraine yametumia magari madogo kusonga mbele. Hapa wakikatiza kwenye kijiji walichokomboa. Wananchi wanawashangilia hadi wanalia
View attachment 2357407
Aisee! Kwa spidi hiyo, huyo jamaa hana haja na gari. HahahaaaBaada ya kuona drone 🤣🤣
View attachment 2357429
Naam! Ndiyo. Hiki ndicho walichofuata Ukraine na hakika ndicho walichostahili.
Mwizi kakamatwa na kithibiti. Sasa anatakiwa aseme na ataje zile sufuria, baiskeli mashine za kufulia na simu ziko wapi.
Hana budi awe mpole na mtiifu mno na kujibu kile anachoulizwa kwani mustakabali wa uhai wake uko mikononi mwa waliomteka.Warusi Wakidakwa wanakuwa wapole balaa na adabu wanakuwa nayo
View attachment 2357462
Mshahara wa dhambi siku zote ni mauti
Huyu ni mmojawapo wa wauaji. Ni sawa na mnyama tu.
Hao Warusi ni wapumbavu. Si wangelisubiri hapo ili wapate uthibitisho kwamba anayewashambulia ni NATO?. Jinga sana Urussi. Wanaendelea kubarikiwa kichapo kitakatifu hadi akili ziwakae sawa.Urusi wamepelekewa moto hadi wanasema waliowashambulia ni NATO. Hawaamini macho yao. Hapa wakiikimbia Izyum
View attachment 2357488
Inavyoonekana hapa, huyu mrussi muuaji anaikumbatia Ardhi ya Ukraine alioiteka.
Yes! Tofauti na hapo watakuwa ni mbolea ya Ukraine.Urusi wana machaguo mawili sasa hivi. Kujisalimisha au kurudi walipotoka
View attachment 2357489
Bro; Wamejua cha maana zaidi ni Uhai wao - acha Putin akomae na hali yake kwani vita kaanzisha mwenyewe.Warusi wanaacha mzigo wa Maaana
View attachment 2357490
Tunawaombea kwa Mungu awajalie wepesi mfanikiwe kuukomboa Mkoa wote mapema iwezekanavyo - Amina.Vita vya kuukomboa mkoa wa Luhansk vimeanza. Tayari Bilohorivka imeshakombolewa
View attachment 2357492
Mbabe anakimbizwa kama swala anavyokimbizwa na simba mwenye njaa kali.Majeshi ya Urusi yanaretreat Kreminna Mkoani Luhansk
View attachment 2357496
Dah! Hiyo Chai imekuwa ni ya MOTO mno mazee; hainyweki hiyo. Mrusi amejistukia- Kimbia sanaa.Kreminna inakimbiwa na Urusi. Watulie wapate chai yao
View attachment 2357504
Na hilo liwe ni FUNDISHO na ONYO kwa yeyote atakayejaribu kuvamia nchi nyingine kama alivyofanya Mrussi.Ukraine imekuwa ngumu kwa Warusi, wanasepa zao. Wanaenda Kupyansk mpakani mwa Urusi. Waaondoka tu taratibu. Mara watahamia kwao
View attachment 2357677
Ngoja kwanza wachoke kwa kukimbia ndipo wawamalizie na hicho ulichosema. 😂😂Si wawakimbize na mabomu.