figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #6,021
Mwenye mashavu kama sehemu za siri ni nani huyo
They deserve it. Acha waning'inie na kuuma meno kama popo.
Asanteni sana vijana wapambanaji japokuwa wanasema hamna kanuni. Mkikamata hakuna cha mswalie Mtume; ni RIP mojakwamoja.
Oh! Walihadaiwa kama majuha. Hawakujua kuzisoma alama za nyakati. Wangelikumbuka msemo usemao "Kwenu ni kwenu tu hata kama ni pangoni" Sasa ndo wanamuelewa Mrussi but too late. Waanze tu kuomba Uraia wa Ukraine kwa upya au waombe Uraia wa Msumbiji.Kuna wananchi wa Ukraine walisaliti Nchi yao kwa kujiita raia wa Urusi ili wawe wanalipwa. Sasa ngoma imegeuka, baada ya Urusi kufurushwa, wamwjaribu na wao kuingia Urusi kwa Vitambulisho waluvyopewa na Urusi, ila wamekataliwa. Wameambiwa waliambiwa ni Warusi kipropaganda tu kiuhalisia sio Warusi. Walionesha passport ya Ukriane waliruhusiwa waliogawa passport zao na kupewa za Urusi hawajaruhusiwa.
Hawa walio hapa Boda, wametoka Kharkov wanataka waingie Belgorod Urusi. Wanajua Ukraine ikishakomboa sehemu hiyo hawatakuwa na chao. Siku ya pili hawajaruhusiwa kuingia Urusi. Urusi wanaogopa kuingiza waasi ndani ya Nchi, wanahofiwa kugeukwa sababu hawajui nani ni nani.
View attachment 2359253
Siyo mkwara bali ni facts. Biden siyo mtu wa mikwara au propaganda ni mtu wa "Action". U.S will remain to be a super power. Russia ni mbwembwe tu hana lolote, hata hiyo nuclear anayotishia wanaume si chochote. Watu wana Nuclear weapons za maana. "Mark Biden's words"Biden amchimba Putin mkwara mzito kuwa asijaribu kutumia silaha a Nyukilia au kemikali huko Ukraine
View attachment 2359592
Mbona kama frontline iko mbali sana na Melitopol. It will take time to get there.Waambie Warusi tushafika tangu asubuhi... Dakika 0 tupo mjini
View attachment 2358907
Kutokea direction ipi. Kuifikia Melitopol itachukia muda sana na inahitajika counter offensive hatari kama ya Izyum ndo ufike ndani ya hizo siku 2. It will take time.Kutokea direction ipiLeo na kesho kazi ipo hapa. Ukraine hatupoi. Hapa inatafutwa Mauripol
View attachment 2358912
Nadhani Ukraine ichukue kwanza Kherson, hii miji mingine itaanguka yenyewe mmoja baada ya mwingineMbona kama frontline iko mbali sana na Melitopol. It will take time to get there.
I agree. Strategic towns ni Kherson na Donetsk. Ikizichukua zile adui Crimea atajiondoa mwenyewe.Nadhani Ukraine ichukue kwanza Kherson, hii miji mingine itaanguka yenyewe mmoja baada ya mwingine
Kuchukua Kherson sio kazi nyepesi.. hapo itabidi hata Putin aiungie Frontline.. maana hawezi kukubaliI agree. Strategic towns ni Kherson na Donetsk. Ikizichukua zile adui Crimea atajiondoa mwenyewe.
Don't underate the ability of the Russian forceKherson itaondoka ila si leo, inabidi Ukraine ijipange haswaa