Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wametelekeza mzigo baada ya kupelekewa Moto
IMG_20220917_060346_439.jpg
 
Kuna wananchi wa Ukraine walisaliti Nchi yao kwa kujiita raia wa Urusi ili wawe wanalipwa. Sasa ngoma imegeuka, baada ya Urusi kufurushwa, wamwjaribu na wao kuingia Urusi kwa Vitambulisho waluvyopewa na Urusi, ila wamekataliwa. Wameambiwa waliambiwa ni Warusi kipropaganda tu kiuhalisia sio Warusi. Walionesha passport ya Ukriane waliruhusiwa waliogawa passport zao na kupewa za Urusi hawajaruhusiwa.

Hawa walio hapa Boda, wametoka Kharkov wanataka waingie Belgorod Urusi. Wanajua Ukraine ikishakomboa sehemu hiyo hawatakuwa na chao. Siku ya pili hawajaruhusiwa kuingia Urusi. Urusi wanaogopa kuingiza waasi ndani ya Nchi, wanahofiwa kugeukwa sababu hawajui nani ni nani.
 
View attachment 2359253
Oh! Walihadaiwa kama majuha. Hawakujua kuzisoma alama za nyakati. Wangelikumbuka msemo usemao "Kwenu ni kwenu tu hata kama ni pangoni" Sasa ndo wanamuelewa Mrussi but too late. Waanze tu kuomba Uraia wa Ukraine kwa upya au waombe Uraia wa Msumbiji.
 
Biden amchimba Putin mkwara mzito kuwa asijaribu kutumia silaha a Nyukilia au kemikali huko Ukraine

View attachment 2359592
Siyo mkwara bali ni facts. Biden siyo mtu wa mikwara au propaganda ni mtu wa "Action". U.S will remain to be a super power. Russia ni mbwembwe tu hana lolote, hata hiyo nuclear anayotishia wanaume si chochote. Watu wana Nuclear weapons za maana. "Mark Biden's words"
 
Back
Top Bottom