Ni jambo la kumshukuru Mungu na kusonga mbele kwani Haki ndo itatamalaki.Kuikomboa Yampil haikuwa kazi rahisi. Kwenye hii Video hakuna alopoteza maisha bali majeraha
View attachment 2374165
Hongera sana Ukraine. Kaza mwendo, ule mwisho ambao sote tunautarajia kwa matumaini makubwa umekaribia sana.Lyman ishakombolewa. Bendera za Urusi zimeshushwa Siku moja baada ya Urusi kutangaza eti imekuwa Urusi baada ya wananchi kupiga kura kwa ushindi wa 99%. Jana Ilikuwa Urusi leo ipo Ukraine. Urusi wanaigiza, nani wa kuwapa ardhi kwa makaratasi? Hongera Ukraine
View attachment 2374170
Siku zote mshahara wa dhambi ni mauti. Usimwonee mtu, au kumdhulumu haki yake kwa sababu tu ya hali yake. Mungu anaweza kukugeuzia kibao ili na wewe uionje hali mbaya ili ujifunze. Mrussi alimvamia Ukraine kwa kumwonea eti kwa sababu tu Ukraine ni mdhaifu kijeshi ukilinganisha na maguvu ya Mrussi(Ubabe)- sasa ona hapo Mrussi anaikumbatia na kuilamba barabara utadhani anaipiga lami upya kwa ulimi wake.
Even though, I don't support terminating ones' own life to avoid having to fight in Ukraine.
Putin amelisababishia Taifa la Urussi FEDHEHA kubwa duniani. Bendera ya Taifa lolote kunyofolewa hivyo na kutupwa chini kana kwamba ni sawa na dekio; Ni Aibu. Ina maanisha Taifa la Urussi limekuwa sawa na matambara yasiyohitajika tena kuusitiri mwili. Hilo Taifa Putin analoliongoza Halifai tena. - Ni takataka.
Sasa wewe jichanganye useme huyo ni demu. Ndo utajua ulikuwa hujui.
Mrussi kwa sasa amebakiza kazi anayoimudu walau kidogo nayo ni ya kurudi nyuma tu sio kusonga mbele. Kusonga mbele kwa Mrussi imeshakuwa ni marufuku na Asipoweza kurudi nyuma anageuzwa mbolea chap na labda akibahatika anaweza kuwa mateka ila sio mikononi mwa AZOV.Mwezi uloisha Frontline ya Ukraine imesonga mbele kiasi chake. Pamoja na Urusi kusema ina jeshi kubwa, tumewarusisha nyuma sana
View attachment 2374583
Yeah! Hiyo ndio lugha anayoielewa Mrussi kwa urahisi na kwa haraka zaidi.
Nimeona sehemu inapiga km 4Hii Silaha inaitwa Snipex Alligator. Sniper wetu [emoji123]
View attachment 2374120
Ureno katoa 10% ya hazina yakeMsaada wa Ureno kwa Ukraine. Hiki ni kifaru aina ya M113A1/A2 cha kubebea Wanajeshi Frontline. Kimepelekwa Kherson
View attachment 2374149
Ufaransa katupatia zilizotakiwa enda Denmark kwa pesa ya DenmarkKila mtu ana kitu anakipenda. Ukiacha HIMARS, silaha niipendayo sana ni Caesar ya Ufaransa. Ni digital
View attachment 2374158