Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Lyman ishakombolewa. Bendera za Urusi zimeshushwa Siku moja baada ya Urusi kutangaza eti imekuwa Urusi baada ya wananchi kupiga kura kwa ushindi wa 99%. Jana Ilikuwa Urusi leo ipo Ukraine. Urusi wanaigiza, nani wa kuwapa ardhi kwa makaratasi? Hongera Ukraine
View attachment 2374170
Hongera sana Ukraine. Kaza mwendo, ule mwisho ambao sote tunautarajia kwa matumaini makubwa umekaribia sana.
 
Siku zote mshahara wa dhambi ni mauti. Usimwonee mtu, au kumdhulumu haki yake kwa sababu tu ya hali yake. Mungu anaweza kukugeuzia kibao ili na wewe uionje hali mbaya ili ujifunze. Mrussi alimvamia Ukraine kwa kumwonea eti kwa sababu tu Ukraine ni mdhaifu kijeshi ukilinganisha na maguvu ya Mrussi(Ubabe)- sasa ona hapo Mrussi anaikumbatia na kuilamba barabara utadhani anaipiga lami upya kwa ulimi wake.
 
Putin amelisababishia Taifa la Urussi FEDHEHA kubwa duniani. Bendera ya Taifa lolote kunyofolewa hivyo na kutupwa chini kana kwamba ni sawa na dekio; Ni Aibu. Ina maanisha Taifa la Urussi limekuwa sawa na matambara yasiyohitajika tena kuusitiri mwili. Hilo Taifa Putin analoliongoza Halifai tena. - Ni takataka.
 
Mwezi uloisha Frontline ya Ukraine imesonga mbele kiasi chake. Pamoja na Urusi kusema ina jeshi kubwa, tumewarusisha nyuma sana
View attachment 2374583
Mrussi kwa sasa amebakiza kazi anayoimudu walau kidogo nayo ni ya kurudi nyuma tu sio kusonga mbele. Kusonga mbele kwa Mrussi imeshakuwa ni marufuku na Asipoweza kurudi nyuma anageuzwa mbolea chap na labda akibahatika anaweza kuwa mateka ila sio mikononi mwa AZOV.
 
IMG_20221002_173627_362.jpg
IMG_20221002_173622_393.jpg
IMG_20221002_173618_136.jpg
 
Back
Top Bottom