nyie ongopeaneni wenzenu wanapigika huko
View attachment 2382582
Kuna vitu ambavyo hujajua.
1. vita ina kanuni zake. Kuna vitu vinavyokatazwa na vinavyoruhusiwa. Ukivifanya visivyoruhusiwa unaweza utatengeneza uhalali wa majilani au marafiki kuingilia kati na pengine ukiwa mbishi wanakutwanga hadi majilani.
2. Vitendo anavyovifanya Urusi anawafanya maadui zake wajenge uhalali wa kumpiga hadhalani bila kificho. NATO, USA na washirika wanaweza kutoa silaha nzito kwa Ukraine, kitu ambacho tangu mwanzo wa vita wamekuwa wakisita kufanya hivyo.
3. USA, NATO na washirika wamepata uhalali wa kumpa ukraine air defense system za kisasa na makombora ya masafa marefu kitu ambacho tangu mwanzo walikuwa wamesita.
4. Ukraine kwa msaada wa USA na NATO wamepata uhalali wa kufumua daraja la Crimea bila kificho.
Take Note: Russia has no military capacity to fight with USA, NATO and EU.
Tambua kuwa mbinu inayotumiwa na USA, NATO na washirika wake ni kumdhoofisha Russia kijeshi na kiuchumi. Wameshajua hana lolote zaidi ya propaganda kwenye battle field.
Missiles anazorusha kutokea Urusi na Baharini si chochote, wenzake wana makombora hatari zaidi na yanaenda masafa marefu. Wakiimarisha anga lote la Ukraine wanaweza kumtumia salamu kupitia Ukraine. Tumeona walivyoliimarisha jeshi la Ukraine na matokeo yake tumeyaona. Sembuse kulinda anga la Ukraine. HIMARS tu imemchachafya. Wakiongeza dozi utaniambia kitakachotokea kwa huyo mgonjwa.
Let us wait and see.