CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Wenzenu wana hali mbaya we jipe matumaini tu.Warusi wamepigwa kata funua Frontline. Wamebaki majivu
View attachment 2382717
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzenu wana hali mbaya we jipe matumaini tu.Warusi wamepigwa kata funua Frontline. Wamebaki majivu
View attachment 2382717
We mjomba Figganigga, ahsante kwa uzi huu na juhudi zako za kutuletea taarifa.Salaam Wakuu,
Amedorora frontline anakimbilia kuua raia wasio na kosa na kuharibu majengo na miundombinu mingine huko Kyiv. Sijui kama makombora yatateka maeneo.Warusi wamepigwa kata funua Frontline. Wamebaki majivu
View attachment 2382717
Anashambulia vituo vya watoto kucheza, Makumbusho na Miundombinu. Frontline anaretreatAmedorora frontline anakimbilia kuua raia wasio na kosa na kuharibu majengo na miundombinu mingine huko Kyiv. Sijui kama makombora yatateka maeneo.
Kuna vitu ambavyo hujajua.nyie ongopeaneni wenzenu wanapigika hukoView attachment 2382582
Mrussi Anadhihirisha ujuha wake. Watoto na vita wapi na wapi? Mrussi AMESHINDWA kabisa kwenye medani ya vita vya msituni/porini.Anashambulia vituo vya watoto kucheza, Makumbusho na Miundombinu. Frontline anaretreat
Raia sio askari, vituo vya kuchezea watoto sio kambi za jeshi, makumbusho sio ghala la kuhifadhi silaha. Kwa mantiki hiyo Mrussi hajui anachokifanya, anapiga the wrong target na ww unawaita ni wenzetu. Wenzetu ni wapiganaji -wana silaha, wenzetu wamevaa kombati na walishapata mafunzo ya kivita. Hao uliosema wanahali mbaya ni victims wa Vita ya Mrussi.Wenzenu wana hali mbaya we jipe matumaini tu.
Natamani kuona wanalenga vituo vya kijeshi sio makazi ya wananchi. Jeshi kwa jeshi. Lakini hii ya kuzidiwa unaenda kuua raia kama kulipiza kisasi ni aibu kwa UrusiLeo tumepigwa haswaaa
Uwezo wa kuangamiza military base za Ukraine hawana. Kwenye battlefield ndo usiseme wame prove hawana uwezo.Natamani kuona wanalenga vituo vya kijeshi sio makazi ya wananchi. Jeshi kwa jeshi. Lakini hii ya kuzidiwa unaenda kuua raia kama kulipiza kisasi ni aibu kwa Urusi
Broo tunakuheshimu wengi umu ndani mbona hujistukiiLeo tumepigwa haswaaa
Usiwe muoga ni watu wachache tu waliofarikiLeo tumepigwa haswaaa