figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #7,041
Rockets na missiles 120, wanakufa raia 11 tu. Aibu sanaUsiwe muoga watu 11 ndiyo wamefariki
Rockets lengo ni kulenga critical infrastructure sio watuRockets na missile 120, wanakufa raia 11 tu. Aibu sana
Residential building ni critical infrastructure?.Rockets lengo ni kulenga critical infrastructure sio watu
Wanachimba mashimo kama nungunungu ili wàjifiche. 😂😂😂Warusi wamekimbia wakaacha Silaha
View attachment 2382985
Hata hivyo 11 waliofariki ni raia yaani Mrussi amewaonea,amewadhulumu uhai wao, sio saizi yake. Aende kupambana na wanajeshi wenzake huko.Usiwe muoga watu 11 ndiyo wamefariki
Mhhh! Inachekesha.Yani askari Mrusi anaacha(Anatelekeza) silaha anakimbia na poo yake.Warusi wamekimbia wakaacha Silaha
View attachment 2382985
He! Walikataa kutii au walitaka kutoroka au vp ndo matokeo ikawa hivyo. Hakuna kinachojigusa wala kujisogeza hapo.Baada ya kuruka kichura Warusi walikuwa hivi
View attachment 2382969
Somo limeeleweka. Kichura-chura. Yes. KinaAtee'-Kinanguruma.....Urusi wakirukishwa kichura chura Frontline
View attachment 2382968
Mrussi Kwa mtindo huo wa kutofuata kanuni (ref.last line of the comment 👆 👆 )Kumbe ni sahihi kwao wanapodakwa na AZOV (vijana wasio na kanuni) hawachukuliwi mateka.Residential building ni critical infrastructure?.
Unatakiwa kuharibu Critical infrastructure za kumdhoofisha adui na siyo kupiga makazi ya watu
Angepiga madaraja ili azuie wanajeshi wa Ukraine wasipite au wasitoroke tungeelewa. Angepiga air defense system za Ukraine tungeelewa. Angepiga military base au maghala ya silaha tungemwelewa. HIMARS na silaha zingine tungeelewa.
Ndiyo maana tunasema vita ina kanuni zake na zinajulikana duniani nzima.
Hongera sana kwa kikosi hicho. Kimejiongeza.Kuna kikosi kipo Frontline kimenifurahisha leo.. Kimeona missiles zinakatiza juu yao ikabidi wazitungue.. Haikuwa kazi ya leo
Wamesaidia sana.. Urusi walituma mzigo wa kutosha.
View attachment 2382939
Kwa hiyo unatuthibitishia kwamba Mrussi ni mshenzi na ni mpumbavu hajui critical infrastructure sio? ( kwa sababu zilizoharibiwa sio critical infrastructure)Rockets lengo ni kulenga critical infrastructure sio watu
Safi sana kiongoziRUSSIA: Mlipuko Mkubwa umetokea kwenye ghala la Silaha Wilayani Yaroslavl kaskazini mwa Moscow
View attachment 2382872
Binafsi nawakubali sana Wamarekani kwenye Vita kwa sababu hawaui watu wasio na hatia, Wao wanadili na wanajeshi tu, Ingekuwa vita zao hawajali raia wangekuwa wanamaliza mapema sana, Ukiondoa ile ya Japan Nagasaki na Hiroshima ambayo ilikuwa lazima kumaliza Vita hapendi kufanya hivyo.Natamani kuona wanalenga vituo vya kijeshi sio makazi ya wananchi. Jeshi kwa jeshi. Lakini hii ya kuzidiwa unaenda kuua raia kama kulipiza kisasi ni aibu kwa Urusi
Alichopiga Urusi hakina Military value. Yaani hakimuongezei uwezo wa kushinda vita. Sana sana anatumia resources zake muhimu sana na ghali sana kupiga vitu visivyomuongezea uwezo wa kushinda vita.Leo tumepigwa haswaaa