Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Rockets lengo ni kulenga critical infrastructure sio watu
Residential building ni critical infrastructure?.

Unatakiwa kuharibu Critical infrastructure za kumdhoofisha adui na siyo kupiga makazi ya watu

Angepiga madaraja ili azuie wanajeshi wa Ukraine wasipite au wasitoroke tungeelewa. Angepiga air defense system za Ukraine tungeelewa. Angepiga military base au maghala ya silaha tungemwelewa. HIMARS na silaha zingine tungeelewa.

Ndiyo maana tunasema vita ina kanuni zake na zinajulikana duniani nzima.
 
Mrussi Kwa mtindo huo wa kutofuata kanuni (ref.last line of the comment 👆 👆 )Kumbe ni sahihi kwao wanapodakwa na AZOV (vijana wasio na kanuni) hawachukuliwi mateka.
 
Rockets lengo ni kulenga critical infrastructure sio watu
Kwa hiyo unatuthibitishia kwamba Mrussi ni mshenzi na ni mpumbavu hajui critical infrastructure sio? ( kwa sababu zilizoharibiwa sio critical infrastructure)
 
Natamani kuona wanalenga vituo vya kijeshi sio makazi ya wananchi. Jeshi kwa jeshi. Lakini hii ya kuzidiwa unaenda kuua raia kama kulipiza kisasi ni aibu kwa Urusi
Binafsi nawakubali sana Wamarekani kwenye Vita kwa sababu hawaui watu wasio na hatia, Wao wanadili na wanajeshi tu, Ingekuwa vita zao hawajali raia wangekuwa wanamaliza mapema sana, Ukiondoa ile ya Japan Nagasaki na Hiroshima ambayo ilikuwa lazima kumaliza Vita hapendi kufanya hivyo.
Putin anaonyesha ni kwa jinsi gani hajali uhai wa mtu anaua tu.
 
Leo tumepigwa haswaaa
Alichopiga Urusi hakina Military value. Yaani hakimuongezei uwezo wa kushinda vita. Sana sana anatumia resources zake muhimu sana na ghali sana kupiga vitu visivyomuongezea uwezo wa kushinda vita.

Na pia Urusi anachokifanya kinahatarisha usalama wa askari wake zaidi. Waukraine wataanza kuwaua hao conscripts wanaowakamata mateka kama namna ya kulipiza kisasi!
 
Back
Top Bottom