Hawana huo uwezo na wanajua GUR HQ, SBU HQ zinalindwa ndo maana hawajajisumbua.Natamani kuona wanalenga vituo vya kijeshi sio makazi ya wananchi. Jeshi kwa jeshi. Lakini hii ya kuzidiwa unaenda kuua raia kama kulipiza kisasi ni aibu kwa Urusi
Kwamba tusikubali tumepigwa?Broo tunakuheshimu wengi umu ndani mbona hujistukii
Kwanini hamjalenga panapotolewa maamuzi?Rockets lengo ni kulenga critical infrastructure sio watu
AZOV walishalibaini hilo la kutofuata kanuni na ndo maana hawachukui mateka. AZOV akikamata askari wa Mrussi kazi ni moja tu- kuwaua.Alichopiga Urusi hakina Military value. Yaani hakimuongezei uwezo wa kushinda vita. Sana sana anatumia resources zake muhimu sana na ghali sana kupiga vitu visivyomuongezea uwezo wa kushinda vita.
Na pia Urusi anachokifanya kinahatarisha usalama wa askari wake zaidi. Waukraine wataanza kuwaua hao conscripts wanaowakamata mateka kama namna ya kulipiza kisasi!
Mkuu; Hebu rudia kuzisoma hizo koments zako uone zinaashiria kitu gani ukizingatia lengo na madhumuni ya uzi huu.Kwamba tusikubali tumepigwa?
Hujui umeme umekuwa tatizo leo?
We umezaliwa 2005 itakuwa. Hujashuhudua vita ya USA. USA anashusha makombora katikati ya Mji na mara nyingi usiku.Binafsi nawakubali sana Wamarekani kwenye Vita kwa sababu hawaui watu wasio na hatia, Wao wanadili na wanajeshi tu, Ingekuwa vita zao hawajali raia wangekuwa wanamaliza mapema sana, Ukiondoa ile ya Japan Nagasaki na Hiroshima ambayo ilikuwa lazima kumaliza Vita hapendi kufanya hivyo.
Putin anaonyesha ni kwa jinsi gani hajali uhai wa mtu anaua tu.
Mkuu; Maamuzi hutolewa na watu kutoka vichwani mwao. Majengo ni fixed. Watoa maamuzi ni mobile -wanaweza kuhamia majengo mengine au hata wakaenda kukaa chini ya mti na wakaendelea kutoa maamuzi. Kinachozungumzwa hapa ni majengo yenye maslahi ya kivita i.e. Miundombinu ambayo ikiondolewa/ikiharibiwa majeshi ya adui yatatatizika au yatashindwa kutekeleza na kufikia malengo yake. e.g. daraja likibomolewa adui hawezi kusafirisha silaha au kupitisha support kupitia hapo darajani labda azunguke mbali. Maghala ya silaha ya adui yakiharibiwa silaha zitateketea na hakuna mahali tena pa kuhifadhia silaha labda kujengwe maghala mapya n.k. n.k.Kwanini hamjalenga panapotolewa maamuzi?
Mlisema SBU ndo wamehusika, maana yake Crimea iko infiltrated, kwanini msingelenga majengo ya SBU?
Makao makuu ya azov imepigwa na makomboraKwanini hamjalenga panapotolewa maamuzi?
Mlisema SBU ndo wamehusika, maana yake Crimea iko infiltrated, kwanini msingelenga majengo ya SBU?
.........USA anashusha makombora katikati ya Mji na mara nyingi usiku.We umezaliwa 2005 itakuwa. Hujashuhudua vita ya USA. USA anashusha makombora katikati ya Mji na mara nyingi usiku.
Lini tena aisee?Makao makuu ya azov imepigwa na makombora
Nichunguze nn, ndio nakwambia anaharibu tu, hata Libya huko, Iraq ndio usiseme alishusha makombora zaidi ya 500 jijini Baghadad tena usiku. Tafuta video yake uone. Unaongea kishabiki na kijinga sana..........USA anashusha makombora katikati ya Mji na mara nyingi usiku.
Wapi hiyo ? OK. Kwa lengo gani? Chunguza vizuri
😳Hawana huo uwezo na wanajua GUR HQ, SBU HQ zinalindwa ndo maana hawajajisumbua.
Wamepiga hadi mgodi afu wanasema walitumia High Precision Missiles
Kingine ni kuwa missiles zao zilipenya kwa 51%
Sawa, Libya alikuwa anamtarget Ghadafi alimkosakosa akaua mtoto wa kambo,Baghdad?We umezaliwa 2005 itakuwa. Hujashuhudua vita ya USA. USA anashusha makombora katikati ya Mji na mara nyingi usiku.
Hapana mkuu. Urussi sio adui kwangu hata siku moja.-naipenda Urussi ILA NAKICHUKIA SANA NA SIUNGI MKONO KABISA KITENDO ALICHOKIFANYA CHA UVAMIZI UKRAINE.Nichunguze nn, ndio nakwambia anaharibu tu, hata Libya huko, Iraq ndio usiseme alishusha makombora zaidi ya 500 jijini Baghadad tena usiku. Tafuta video yake uone. Unaongea kishabiki na kijinga sana.
Kisa huipendi Urusi basi unadanganya hapa?? Acha hizo mambo, ndio maana mnatolewa akili. Afghanistan ilishambuliwa mpaka mjini na ikaharibiwa vibaya sana.
Kwahito kisa marekali aliipiga iraq basi ndo tumuache na mrusi aipige Ukraine..??......halafu bora ata mmarekani anapiga na kuondoka mrusi ana watawala hilo halitowezekanaNichunguze nn, ndio nakwambia anaharibu tu, hata Libya huko, Iraq ndio usiseme alishusha makombora zaidi ya 500 jijini Baghadad tena usiku. Tafuta video yake uone. Unaongea kishabiki na kijinga sana.
Kisa huipendi Urusi basi unadanganya hapa?? Acha hizo mambo, ndio maana mnatolewa akili. Afghanistan ilishambuliwa mpaka mjini na ikaharibiwa vibaya sana.
Marekani yeye alitaka kuiba wese tu Iraq lakini Urusi anaiba ardhi nzima hadi kinu cha Nyukilia anakitwaa kibabeKwahito kisa marekali aliipiga iraq basi ndo tumuache na mrusi aipige Ukraine..??......halafu bora ata mmarekani anapiga na kuondoka mrusi ana watawala hilo halitowezekana
Sio hivyo tu, ikafikia mahali akabweteka na tar.24 Feb 2022 akajiamulia aongeze mipaka na akataka afike hadi Kyiv kwa madai eti kumwondoa Zele madarakani cjui sio msikivu, hataki kumsikiliza, blaa blaa nyingi n.k.n.k. alitaka atawale yy au vp. Huko Bucha usiseme alipageuza kuwa buchani kweli kweli. Mrussi gani huyo kama sio kirusi(Virus) kwa Taifa la Ukraine?? Wacha apewe chanjo ya nguvu sio ya hiari tena..Marekani yeye alitaka kuiba wese tu Iraq lakini Urusi anaiba ardhi nzima hadi kinu cha Nyukilia anakitwaa kibabe
Jifariji tuMarekani yeye alitaka kuiba wese tu Iraq lakini Urusi anaiba ardhi nzima hadi kinu cha Nyukilia anakitwaa kibabe