HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hawana huo uwezo na wanajua GUR HQ, SBU HQ zinalindwa ndo maana hawajajisumbua.Natamani kuona wanalenga vituo vya kijeshi sio makazi ya wananchi. Jeshi kwa jeshi. Lakini hii ya kuzidiwa unaenda kuua raia kama kulipiza kisasi ni aibu kwa Urusi
Wamepiga hadi mgodi afu wanasema walitumia High Precision Missiles
Kingine ni kuwa missiles zao zilipenya kwa 51%