Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ki-Ukweli ni kwamba Putin ameisha. Enzi na Utawala wake umefikia Tamati. Hilo unaweza kuliona/kulionja kwa kuzisoma alama za nyakati katika maneno anayotamka kwa kuyumbayumba - mara nimepata kikosi cha wanamgambo laki moja from N.Korea, mara nataka sasa tukae tuzungumze, mara nitatumia Nyuklia, mara ghafla kaingia mtaani kukamata raia na kuwapeleka vitani, mara kachukua wafungwa, mara kaenda kuomba drones Iran, ghafla anapiga makombora uraiani kiholela maeneo ya Ukraine yaliyo mbali na frontline nk.nk -aliambiwa hakuna rangi ataacha kuona. Ana kichwa kigumu sana huyu mtu hasikii wala kuelewa.
 
Waw! Haya sasa, Enyi Warussi na Washirika wake wote: anayetaka kuzijua hizo vizuri apite hapo na kandege kake au apitishe hapo vi-missile vyake n.k. au chochote kiendacho kwa njia ya anga halafu alete mrejesho hapa.
Ila jamani Odessa wamejitahidi sana, Mrusi hajawahi shambulia kambi yoyote ya Jeshi, wakati ipo karibu na black sea. Kuna makombora machache yanaponyoka na kuharibu barabara na majengo ya Raia. Odessa ni mji unaongoza kwa Makombora ya urusi kudakwa angani. wapo vizuri.. Wana Mahandaki yanayolindwa na Wananchi kando kando ya bahari.. Ukija na meli huwezi kushuka, Wanakumaliza. Urusi walijaribu kuingia Odessa kupitia Kherson ila Wameshindwa tangu vita ianze, hakuna hata hatua moja Urusi wamechukua Odessa japo ipo Mpakani. Wananchi wa Odesa wanalinda mji wao wenyewe. Nawawekea picha kidogo hapa. Odessa ndo waliua Wanajeshi 70 wa urusi waliokuwa wanatua kwa miamvuli kutoka kwenye ndege. Odessa hakuna Mwanamume alikimbia Mji, wote wanalinda mji wao. Nchi inawapa mifumo ya kulinda anga. Huku ardhini wamejikamilisha kabisa

 
IRIS-T Air Defense System ya Ujerumani imeanza kufanya kazi Odessa
View attachment 2387649View attachment 2387650View attachment 2387651
Kitu na box lake kimetulia, kinamsubilia huyo mwendawazimu.

NASAMS mbili (2) ma zile long range rocket system zikishatua nchini tutasikilizia kama PUTIN ataendelea na ujinga wake.

Siku hizi hatusikii propaganda za HIMARS (Game changer) kulipuliwa badala yake tunaona silaha zimefichwa kwenye mashule na makazi ya watu.

Hongera Rais Zelenskyy and Ukrainian Troops kwa juhudi zenu za kupigania nchi. Hakika mmeuthibitishia ulimwengu kuwa mnaweza kumpiga Russia. Slava Ukraine.

Wale warusi wa kwa mtogole msije kusingizia kuwa hamtuelewi.😂😂😂.
Someni hapa.

Щось із його коробкою спокійно, воно чекає божевільного.

У наш час ми не чуємо пропаганди Гімарів (зміна ігор), натомість підірвали, ми бачимо, як зброя, прихована в школах та людських поселеннях. Ви, безумовно, довів вам, що можете перемогти Росію. Слава Україна.
 
Waw! Haya sasa, Enyi Warussi na Washirika wake wote: anayetaka kuzijua hizo vizuri apite hapo na kandege kake au apitishe hapo vi-missile vyake n.k. au chochote kiendacho kwa njia ya anga halafu alete mrejesho hapa.
Warushe hata picha ya Putin waone kitu kinavyopumua. 😂😂😂😂
 
Hivi Air Defence System kama hii inakuwa na uwezo wa kulinda eneo lenye ukubwa gani?
Naomba kuelimishwa.
maximum firing range is 40Km and altitute 20km. Its rader can detect threat 200km. The rader can detect 500 objects at a time.

Kwa kifupi. IRIS-T moja ina uwezo wa kulinda jiji la Dar es Salaam lote.
 
Wee! Umeandika Kirussi kana kwamba wale warussi wa kwa mtogole wanaweza kukisoma au? Hawana lolote ni mkwara tu.
 
maximum firing range is 40Km and altitute 20km. Its rader can detect threat 200km. The rader can detect 500 objects at a time.

Kwa kifupi. IRIS-T moja ina uwezo wa kulinda jiji la Dar es Salaam lote.

Shukrani kwa jibu zuri
 
Hawana counter radar wala surveillance nzuri angani
 
maximum firing range is 40Km and altitute 20km. Its rader can detect threat 200km. The rader can detect 500 objects at a time.

Kwa kifupi. IRIS-T moja ina uwezo wa kulinda jiji la Dar es Salaam lote.
Kwani tuna adui yoyote?

Tanzania haina defence yoyote ile, labda kule Ngerengere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…