figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,241
Mykhailo Dianov alikuwa anaipambania Mariupol isiangukue Urusi, ni moja ya Walioachiwa Huru kizuzini. Tangu ashikiliwe na Urusi, hakuwahi kupewa matibabu. Ukisikia Azov ndo hawa. Sasa yupo anajitibia na anaendelea vizuri. Anakuambia akupona Vizuri na kurudi Frontline line. Furaha yake ni kuona Ukraine inajikomboboa toka kwa Urusi. Mkono wake hauna mfupoa wa sm 4