Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ni Collection ya Kikosi cha Azov. Wameacha kupost kila siku sababu Mrusi anadetect walipo. So wanaweza kaa kimya hata siku tatu then wakatuma ripoti. Azov na Urusi ni mafuta na maji
Safi sana. Kazi yao nzuri πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Umbali huo ni sawa na kutoka Kimara mpaka posta tu!

Hii vita inatakiwa iendelee hata miezi 8 mingine ili tuone msuli wa anayejiita mbabe wa dunia eti wa kupigana na USA na NATO
Kumbuka kila nchi ya nato ina uwezo wa kupambana na Urusi. Hadi sasa Urusi katepeta. Mfano Marekani hajaleta Meli hata moja. Hajaleta ndege. Anasaidia ardhini tu. Akija angani na majini itakuwaje?
 
Kumbuka kila nchi ya nato ina uwezo wa kupambana na Urusi. Hadi sasa Urusi katepeta. Mfano Marekani hajaleta Meli hata moja. Hajaleta ndege. Anasaidia ardhini tu. Akija angani na majini itakuwaje?
Absolutely true.
USA, NATO na washirika wao wameamua na wanataka Russia aanguke kama enzi za Soviet. Safari hii kanasa mtego wao, hataweza kujinasua. Lazima Russia awe paralyze kiuchumi na kijeshi.

NATO na USA wakiamua wamalize vita hii hata mwezi hauishi. They are killing him softly.
 
Mwezi mrefu sana , NATO wana uwezo wa kumaliza hii vita ndani ya siku nne tu . NATO ni wakubwa sana wakiamua ku wage war na nchi yoyote haichukui round
 
Euthanasia.
 
Kumbuka kila nchi ya nato ina uwezo wa kupambana na Urusi. Hadi sasa Urusi katepeta. Mfano Marekani hajaleta Meli hata moja. Hajaleta ndege. Anasaidia ardhini tu. Akija angani na majini itakuwaje?
Itakuwa hapatoshi - patachimbika
Mrussi vita ya ardhini tu kamasi zinamtoka hovyo. Anakimbia-kimbia huku na kule. Sembuse uje tena kwa angani na majini? Atakuwa ameisha kitambo sana.
 
Nasikia Offensive ya Kherson leo imekwama kwa Ukraine, Warusi wamejizatiti vyema hii ikoje?
Hujasikia kuwa maiti 14 miongoni mwa maiti zilizorudishwa Urusi ni mobilised waliojiunga 23/09/2022.

Warusi wanafurushwa vijiji vingi sema tu kasi ya kuwafurusha ni ndogo. Maeneo hayo wakongwe Wagner group wamejidhatiti sana.
 
Wewe Jamaa kumbe mshamba hivyo!!! hizo ni lugha za kawaida tu naona mmekazania hilo neno muhuni bila kuelewa mantiki nzima YA hiyo comment.
 
Hakika watu wa odessa ni makini
 
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…