Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Good morning Kherson.
20221017_070405.jpg
20221017_070425.jpg
 
Ukraine kuba kundi lilijiunda siku vita ya Urusi na Ukraine inaanza, linaitwa Kraken special forces. Sasa hivi wameshaiva. Vita iliponza Ukriane iligawa silaha kwa raia wajilinde dhidi ya Mvamizi. Hili kundi likaunda omoja ndo wakajiita Kraken special forces. Hawa wapo Luhansk. Ni kama unavyo waona Azov regiment. Mafanikio yao ya hivi karibuni, waliweza kuikomboa Kupiansk-Vuzlovyi, Kyslivka na Kotlyarivka. Video ni siku wanaikomboa Kupiansk-Vuzlovyi
View attachment 2389683
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Hivi tumekosa drone msawia ili kuwaadhibu Warusi kwa watufanyiayo? Maana hizi drone za Iran ni hatari kwa sasa zinatumwa nyingi sana na uelekeo ni Kyiv
 
Hii mbinu ya kutumia concrete Vitani, Marekani ndo iliianzisha vita ya Iraq. Baghdad palijaa concretes. Sasa naona Urusi wameamua kuzibeba hadi Frontline maporini. Nilizoea kuona zinatumika Mijini.
View attachment 2389696View attachment 2389697View attachment 2389698View attachment 2389699
Mmarekani anajua saana kitu kitaalamu tunaitwa CQB yaani Close Quarter Battle za mjini.
Jeshini niliwahi kufanya kozi na WA USA Hawa watu wako mbali saana kwenye Urban combat skills and techniques.
 
Hivi tumekosa drone msawia ili kuwaadhibu Warusi kwa watufanyiayo? Maana hizi drone za Iran ni hatari kwa sasa zinatumwa nyingi sana na uelekeo ni Kyiv
Ukraine anaweza sana kupiga Moscow ila haikuwepo haja sana kufanya hivyo, moyo ulikuwa kwenye kukomboa maeneo.

Ila kama Urusi ataendelea kuranya haya wanayoyafanya, lazima Ukraine itafanya kitu moja mbaya kwa Urusi mpaka watashangaa
 
Back
Top Bottom