figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #7,321
Aliyenusulika katimua mbio hatari. Digidigi Haoni ndani 🤣🤣🤣
Fine ; How do U do - from pro Ukraine
So far, so good.Fine ; How do U do - from pro Ukraine
Safi mnoooSikumbuki kama nimepost. Leo hapa Belgorod Warusi wameuana. Kuna wanajeshi watatu wa Urusi wameasi na kuua wenzao 22. Kati ya watatu walioasi wawili wameuliwa mmoja amesepa
View attachment 2389185
Slava Ukraine [emoji1255] [emoji813]Hii ndo Crotale air defense system ya Ufaransa
View attachment 2389668
Slava Ukraine [emoji1255]Ukraine kuba kundi lilijiunda siku vita ya Urusi na Ukraine inaanza, linaitwa Kraken special forces. Sasa hivi wameshaiva. Vita iliponza Ukriane iligawa silaha kwa raia wajilinde dhidi ya Mvamizi. Hili kundi likaunda omoja ndo wakajiita Kraken special forces. Hawa wapo Luhansk. Ni kama unavyo waona Azov regiment. Mafanikio yao ya hivi karibuni, waliweza kuikomboa Kupiansk-Vuzlovyi, Kyslivka na Kotlyarivka. Video ni siku wanaikomboa Kupiansk-Vuzlovyi
View attachment 2389683
HatareUkisikia bahati ndo hii, kidogo Urusi wawatoe roho Wanajeshi wetu
View attachment 2389830
Mmarekani anajua saana kitu kitaalamu tunaitwa CQB yaani Close Quarter Battle za mjini.Hii mbinu ya kutumia concrete Vitani, Marekani ndo iliianzisha vita ya Iraq. Baghdad palijaa concretes. Sasa naona Urusi wameamua kuzibeba hadi Frontline maporini. Nilizoea kuona zinatumika Mijini.
View attachment 2389696View attachment 2389697View attachment 2389698View attachment 2389699
Ukraine anaweza sana kupiga Moscow ila haikuwepo haja sana kufanya hivyo, moyo ulikuwa kwenye kukomboa maeneo.Hivi tumekosa drone msawia ili kuwaadhibu Warusi kwa watufanyiayo? Maana hizi drone za Iran ni hatari kwa sasa zinatumwa nyingi sana na uelekeo ni Kyiv
Yes; Exactly Russian hands are splattered with the blood from innocent Ukrainian civilians. 😳
Mkuu; Je, huko kyiv zinakoelekea zinafika?Hivi tumekosa drone msawia ili kuwaadhibu Warusi kwa watufanyiayo? Maana hizi drone za Iran ni hatari kwa sasa zinatumwa nyingi sana na uelekeo ni Kyiv